nina watoto 30 wote mama tofauti

nina watoto 30 wote mama tofauti

una uhusiano na HR666
Huyu ni member wa 7 nafananishwa naye

Mlianza na Yeezus,mkaja na Chidy boy mkaja na vigagula wengine leo mmemalizia na huyu aisee

Nyie watu wa ajabu sana ila si shangai kwa sababu hata nyani ngabu mlisema yeye ndiye dinazadi
 
Una uhakika??

Tuwaite moderators wathibitishe?

Kama sio je ? Upo tayali kupewa ban kwa kumzushia uongo member mwenzako?
Yeah nipo tayar kwani ile id yako ya yeezus si hsuitumii kisa tulisha ifaham
 
wadau nishaurini nifanyaje mpaka sasa nina watoto 30 watano wapo nchi za nje na mama zao huko uk nlipoenda likizo,kumi nliwapata 1999 wakati nikiwa dereva wamalori.na hawa 15 walobaki watano wapo nigeria,watatu kenya,wawili uganda.na kumi wengine hapa jijini dar.mimi nina mika 29.tatizo nataka kuoa mwezi wa12 nashindwa jinsi ya kumwambia wife siri hii ambae tayari nishamvisha pete.nishaurin mana watt wanataka kuja kunitembelea arusha napokaa.
Fanya oa tasa

Alafu watoto principle weee hakikisha unajuwa kila mmoja yuko wapi onyesha mapenzi wajue upo
Wale ambao mama zao wanajiweza unawaacha huko wasomeshwe
Ukiona wale ambao familia za ujombani maskini na wanateseka unawachukua unakaaa nao...mwisho wote watarudi
Ila sasa nimuhimu tAfuta kijiji ambacho utapata hata heka .100 ujenge nyumba ili ikitokea wale ambao hawatabahatika kuwa na msimamo wa maisha wakae huko wajiajiri kilimo
Na ni muhimu ukiwa na watoto wengi uwe landlord wawe na sehemu wataita nyumbani ambako utaweza kumkatia kila mwanao token
 
anatatzo gan huyo mkuu
Hebu angalia coments za watu uone wanakuchukuliaje, mm naona wanaaanza kukudharau ajili ya post zako mkuu.. Hakuna mtu aliyejishusha heshima mwenyewe kama HR 666 na wote humu tulishaona dish lake limecheza, so angalia usifike hatua hiyo.. Hebu pitia comments za watu uone wanakuchukuliaje
 
nimekupata vyema kabsa mkuu japo kwann nawadharau pia wanaonichukulia serious humu ni sababu humu jf mtu akiamua kichaa muache it dsnt mean ni kichaa kweli sababu hujui id yake halisi,wengine tupo humu kufurahisha genge tu na kujifurahisha basi but our actually life ni tofauti kabsa na huwez hata kuguess who i am.as long as simdhuru mtu kwann usikae kimya,ukiona post km huwez kwenda nayo ukaicha.sanyngne mtu anaona kabsa hiki kitu si halisi alafu anakuja kubwabwaja kama halis ni utoto,inakua km kwenye page ya eatv fb kule uneducated wengi,mtu analetewa swali tu la kubuni la mtu anaomba ushauri,yy anatoa povu mpaka matusi,wtf? watu wanaojua whats happening huwa hawajisumbui kabsa......so hawa watu lazma waelimike pia.thats y kwa jinsi navojiweka sitaki hata kumsumbua mtu pm wala nini mimi kaz yangu ni kunifunza,kuburudika,kuchangia mawazo ya msingi na yasiyo na msingi inapobid.....mbona ize tu kuelewa.....anyway wacha tutulie labda tutazame upuuzi wao tuige huo[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Good kabisa, ila ndio kila mtu ana tafsiri zake mkuu ok hiyo ni style uliyoamua kua nayo humu jf ww ndio muamuz kama utaona ubadilishe au
Qn: Shy town ulishafika?
 
Back
Top Bottom