Bado inatumika hiii ?labda hajaitangaza maana mi huwa sipendi kukata tiket stendi
Sent using Jamii Forums mobile app
Habarini wakuu
lengo langu kubwa ni kuwafikia wateja walipo kwa bei ile ile ya kariakoo, kuwasaidia wafanya biashara wanaotoka mikoani na kufata mzigo, mtu mmoja mmoja anayefuata mahitaji kariakoo, hii itasaidia kupunguza foleni na msongamano wa watu pale kariakoo, itasaidia kutokutapeliwa, na kupata unachokihitaji kwa wakati muafaka, hata wa mikoani itawasaidia kununua bidhaa kwa bei ya kariakoo
Nahitaji watu ili tuweze kusaidiana kutimiza lengo hili
1: Mtu anayeweza kutengeneza application
2: mpiga picha mzuri sana
3: sponsor (kama atapatikana)
Wakiwa wakazi wa dsm itapendeza sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo mkiambiwa ukweli mnadhani tunawachukia. Mazingira na uelewa wa watu nje na TZ ni tofauti sanaHii idea lazima ifanikiwe.
Mawazo negative kama ya kina Bufa huwa hapo tu. Hawakosagi watu wa namna hii. Hata Zuckerberg alipigwa mkwara mara kadhaa na Panel ya Maprofesa pale Harvard. Tazama leo hii (bilionea wa tano)
.... na pengine wanapigwa (tapeliwa) kifala kuliko hata wa mikoani.....mkuu hata nyie wa dsm...sasa hivi tunawajua vizuri sana...zamani ndo tulijua mnaishi kariakoo na posta kwenye maghorofa...kumbe kwenye maghorofa kwa asilimia kubwa ni makaratasi na makompyuta...nyie mnaishi kwenye mbavu za mbwa kama sisi tu wa mikoani.....hata nyie kariakoo mnaendaππππππ
App gani hiyo mkuu?Idea yako ishafeli sababu wabongo zaidi ya Instagram na WhatsApp hawawezi kutumia app nyingine yoyote.
Kuna app ya kukata tickets za mabasi ya mikoani, very useful, unakata kwa bei ile ile ya Ubungo bila kwenda Ubungo ila watu hawakutumia bado wanataka kwenda Ubungo ndo sembuse hiyo ya Kariakoo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa kweli kabisa maana imezoeleka kuwa watu wengi wakija Dar ili kuondoa ushamba Ni lazima waje DarWatu wa mikoani ni watu wa mikoani tu, lazima waende kariakoo,ataenda kuhadithia nini huko mkoani?
atawanyima fursa ya kuutoa ushambaHahahaaa kweli kabisa maana imezoeleka kuwa watu wengi wakija Dar ili kuondoa ushamba Ni lazima waje Dar
Ahsante kwa ushaur muruaUna wazo zuri mkuu. Ila njia unayotaka kuitumia sidhani kama itachangia kupunguza wingi wa watu kariakoo, ila itasaidia watu kupata kile wanachokihitaji kwa wakati kuliko kuzunguka mtaa mmoja kwenda mwingine mwisho wa siku unatokea ulipoanzia na bidhaa unayoitaka huyaipata.
Pia mkuu, ukiongelea app za kununua na kuuza bidhaa kwa njia ya kuangalia picha ya bidhaa na bei kisha kuwasiliana na supplier zipo mkuu, Mfano Jumia, Kupatana n.k, ila Tatizo watanzania hatujafikia huko, watu wanapenda waione bidhaa dukani na wakutane na muuzaji laivu na kuanza ku bargain bei.
Mwisho mkuu, kupunguza msongamano wa watu kariakoo ni kuathiri biashara za pale, maana katika msongamano wa watu ndipo biashara hufanyika. Nchi zote duniani zina maeneo ya masoko huria kama Kariakoo ambapo uhakika wa kupata bidhaa yoyote upo. Hivyo ule msongamano ndio fursa yenyewe.
Nadhani mkuu, Angalia zaidi namna ya kuboresha biashara ya pale Kariakoo kuliko kuwa na primary target ya kupunguza msongamano wa watu.
Ni mawazo yangu tu.
Sawa mkuu nitakuchekiuna aidia mzuri, kuna vitu vidogo vimemisi kama utojari tunaweza kuwasiliana tufanye maboresho then project ifanyike nicheki 0713503753
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakucheki mkuuWazo zuri sana.
Twende tupige kazi. App kama hii itachukua 3 months kuwa live.
Una order na unaletewa mkoani mkuu kwa kuagizaInafanyaje kazi? Kwamba naorder vitu kwenye app halafu unaniletea nilipo mikoani? Ni order and delivery app? Au unaonganisha muuzaji na mnunuzi tu halafu wewe unakula service fee?
Watu wa mikoani ni watu wa mikoani tu, lazima waende kariakoo,ataenda kuhadithia nini huko mkoani?
Lengo ni kuweka bidhaa zote za kariakoo mahali pamojaatawanyima fursa ya kuutoa ushamba