low thinking capacity
JF-Expert Member
- Jun 4, 2018
- 1,323
- 1,496
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kile chakula ambacho riport ya wamarekani walisema kinapunguza uwezo wa kufikir (ugali)
Marketing ndo tatizo hapo. Pia iwepo incentive ya mtu kukata online mfano kupata discount ya tiketi. Ukishamteka mteja mara ya kwanza basi huyo atakuwa repeated customer. Kwa hiyo challenge ni jinsi ya kumfanya mtu aitumie hiyo app kwa mara ya kwanza. Inahitaji marketing ya nguvu. Budget kubwa ni marketing na expansion.Idea yako ishafeli sababu wabongo zaidi ya Instagram na WhatsApp hawawezi kutumia app nyingine yoyote.
Kuna app ya kukata tickets za mabasi ya mikoani, hii hapa Welcome To StartMySafari, very useful, unakata kwa bei ile ile ya Ubungo bila kwenda Ubungo ila watu hawakutumia bado wanataka kwenda Ubungo ndo sembuse hiyo ya Kariakoo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anza na prototype mkuu na uanze na watu wachache. Sponsor hawezi kuja bila proof of concept. Idea lazima uifanyie testing kuona kukubalika kwake kabla ya kuwaza kama hiyo idea ni nzuriHabarini wakuu
lengo langu kubwa ni kuwafikia wateja walipo kwa bei ile ile ya kariakoo, kuwasaidia wafanya biashara wanaotoka mikoani na kufata mzigo, mtu mmoja mmoja anayefuata mahitaji kariakoo, hii itasaidia kupunguza foleni na msongamano wa watu pale kariakoo, itasaidia kutokutapeliwa, na kupata unachokihitaji kwa wakati muafaka, hata wa mikoani itawasaidia kununua bidhaa kwa bei ya kariakoo
Nahitaji watu ili tuweze kusaidiana kutimiza lengo hili
1: Mtu anayeweza kutengeneza application
2: mpiga picha mzuri sana
3: sponsor (kama atapatikana)
Wakiwa wakazi wa dsm itapendeza sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana mkuuMarketing ndo tatizo hapo. Pia iwepo incentive ya mtu kukata online mfano kupata discount ya tiketi. Ukishamteka mteja mara ya kwanza basi huyo atakuwa repeated customer. Kwa hiyo challenge ni jinsi ya kumfanya mtu aitumie hiyo app kwa mara ya kwanza. Inahitaji marketing ya nguvu. Budget kubwa ni marketing na expansion.
Idea yako ishafeli sababu wabongo zaidi ya Instagram na WhatsApp hawawezi kutumia app nyingine yoyote.
Kuna app ya kukata tickets za mabasi ya mikoani, hii hapa Welcome To StartMySafari, very useful, unakata kwa bei ile ile ya Ubungo bila kwenda Ubungo ila watu hawakutumia bado wanataka kwenda Ubungo ndo sembuse hiyo ya Kariakoo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Omba uingie kwenye hio competition fasterHabarini wakuu
lengo langu kubwa ni kuwafikia wateja walipo kwa bei ile ile ya kariakoo, kuwasaidia wafanya biashara wanaotoka mikoani na kufata mzigo, mtu mmoja mmoja anayefuata mahitaji kariakoo, hii itasaidia kupunguza foleni na msongamano wa watu pale kariakoo, itasaidia kutokutapeliwa, na kupata unachokihitaji kwa wakati muafaka, hata wa mikoani itawasaidia kununua bidhaa kwa bei ya kariakoo
Nahitaji watu ili tuweze kusaidiana kutimiza lengo hili
1: Mtu anayeweza kutengeneza application
2: mpiga picha mzuri sana
3: sponsor (kama atapatikana)
Wakiwa wakazi wa dsm itapendeza sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Good ideauna aidia mzuri, kuna vitu vidogo vimemisi kama utojari tunaweza kuwasiliana tufanye maboresho then project ifanyike nicheki 0713503753
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazo zur sana kiongoz ila you have to do reserch uangalie jins gn ya kuliboresha for the time nikushaur uandae business plan itakayo kuongoza then nenda costech kuna shindano wanaliendeshaHabarini wakuu
lengo langu kubwa ni kuwafikia wateja walipo kwa bei ile ile ya kariakoo, kuwasaidia wafanya biashara wanaotoka mikoani na kufata mzigo, mtu mmoja mmoja anayefuata mahitaji kariakoo, hii itasaidia kupunguza foleni na msongamano wa watu pale kariakoo, itasaidia kutokutapeliwa, na kupata unachokihitaji kwa wakati muafaka, hata wa mikoani itawasaidia kununua bidhaa kwa bei ya kariakoo
Nahitaji watu ili tuweze kusaidiana kutimiza lengo hili
1: Mtu anayeweza kutengeneza application
2: mpiga picha mzuri sana
3: sponsor (kama atapatikana)
Wakiwa wakazi wa dsm itapendeza sana
Sent using Jamii Forums mobile app
safari za wabongo nyingi sio za kuplan ni gafla tu
Tatizo kubwa ni kukosekana promotion ya kutoshaNina uhakika sababu nimewahi kufuatilia closely. Start my safari jamaa aliwekeza sana kwenye hii ishu ila hakufanikiwa wala kurudisha pesa yake hata robo, watu bado wanataka kwenda stand wakakate ticket au wakijitahidi sana na kama wanamjua konda wanampigia konda simu na kutuma pesa mpesa.
Hiyo ni ticketing app ambayo ni very straightforward sijui app ya kununua vitu, bargaining, kufunga mzigo, kutuma nk kama itafanikiwa. I dare say it's bound to fail.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wewe mkuu asili yako wapi?Watu wa mikoani ni watu wa mikoani tu, lazima waende kariakoo,ataenda kuhadithia nini huko mkoani?
Mkuu ni maswali mazur sana kwanza tutajenga uaminifu kwetu na kwao, maana itakuwa imesajiliwa na serikali, hivyo kutakuwa na account moja tu ya kuingiza pesa na sisi ndio tutafanya manunuzi, kuhusu malikauli tutafanya mawasiliano kati ya owner na yule anayechukua kwa malikauliUna mtihani kiongozi
Watu wanatoka Zambia kufuata mzigo kariakoo
Kwa sababu walishajaribu kuwatumia WaTanzania wakaishia kutapeliwa,
Hapa hapa nchini nako watu wametapeliana.
Pia kuna Wengine wanaenda kuchukua Mali kauli kwenye duka la mazoea.
Je utawasaidiaje?
Mwingine anakwenda kariakoo kujua fashion mpya mjini
Utawasaidiaje?
Kila la kheri
[emoji252] [emoji479]
Mkuu ata watu wa marekani wanaasili sehemu fulani lakini kwa sasa ni wamarekani