Nina wazo la kuondoa msongamano wa watu Kariakoo, Dar es Salaam

Marketing ndo tatizo hapo. Pia iwepo incentive ya mtu kukata online mfano kupata discount ya tiketi. Ukishamteka mteja mara ya kwanza basi huyo atakuwa repeated customer. Kwa hiyo challenge ni jinsi ya kumfanya mtu aitumie hiyo app kwa mara ya kwanza. Inahitaji marketing ya nguvu. Budget kubwa ni marketing na expansion.
 
Anza na prototype mkuu na uanze na watu wachache. Sponsor hawezi kuja bila proof of concept. Idea lazima uifanyie testing kuona kukubalika kwake kabla ya kuwaza kama hiyo idea ni nzuri
 
Ahsante sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

safari za wabongo nyingi sio za kuplan ni gafla tu
 
Wabongo kwa kukatishana tamaa, dah. Hio ya tiketi ni nzuri lakini inahitaji matangazo Sana. I had the same idea, ni ya kuboresha tu

Mpwa, cha kufanya Nenda pale COSTECH kuna jamaa alishadevelop Kama hio na akashinda bingo ya COSTECH, wamenitumia email Leo kuwa kuna shindano lingine, Nenda Sayansi pale au Ingia LinkedIn kisha tafuta COSTECH utapata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Omba uingie kwenye hio competition faster

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazo zur sana kiongoz ila you have to do reserch uangalie jins gn ya kuliboresha for the time nikushaur uandae business plan itakayo kuongoza then nenda costech kuna shindano wanaliendesha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo kubwa ni kukosekana promotion ya kutosha

Mteja mpaka aitumie hyo huduma inapaswa awe ashaiskia mara kadhaa na shuhuda za watu mbalimbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una mtihani kiongozi
Watu wanatoka Zambia kufuata mzigo kariakoo
Kwa sababu walishajaribu kuwatumia WaTanzania wakaishia kutapeliwa,

Hapa hapa nchini nako watu wametapeliana.
Pia kuna Wengine wanaenda kuchukua Mali kauli kwenye duka la mazoea.

Je utawasaidiaje?
Mwingine anakwenda kariakoo kujua fashion mpya mjini
Utawasaidiaje?

Kila la kheri

[emoji252] [emoji479]
 
Mkuu ni maswali mazur sana kwanza tutajenga uaminifu kwetu na kwao, maana itakuwa imesajiliwa na serikali, hivyo kutakuwa na account moja tu ya kuingiza pesa na sisi ndio tutafanya manunuzi, kuhusu malikauli tutafanya mawasiliano kati ya owner na yule anayechukua kwa malikauli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…