Something is wrong kwenye marketing ya hizi application, walifanyie kazi hilo if they want to be big one day!Start my safari na zingine kadhaa, kuna mabasi wanazo za kwao wenyewe ila hazitumiki au zinatumika kwa kiasi kidogo sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku moja niliingia kwenye mtandao mmoja hivi nikakuta tangazo la facebook kwamba wananitaka nijiunge na mtandao wao, sasa nikajisemea Moyoni yaani hadi hawa wenye users wanakaribia 2B dunia nzima bado wanaitangaza hii app yao, kwan nani asieijua facebook sasa hivi?Hiyo apo: Welcome To StartMySafari
Vijana ambao wanashinda mitandaoni kila siku hawaifahamu kabisa hii app hapo ndo utajua imefeli vibaya, vp app ya manunuzi Kkoo ambako wanaenda zaidi wazee wa mikoani wasio hata na smartphone! Simkatishi tamaa bali namwambia ukweli
Tutakuwa wa kwanzaK/koo lazima twende kudhibitisha ubora wa bidhaa na mali halisi...
Wtz si waaminifu ukiagiza kupata unachotaka ni bahati na bla bla nyingii....
Kila la heriTutakuwa wa kwanza
Tutafanya kitu kitakachotufanya tuwe wa tofauti
Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho tunachotaka kuhadithia tutatoa maoni kwenye hiyo app kuwe na picha na video za mazingira mbalimbali ya DarWatu wa mikoani ni watu wa mikoani tu, lazima waende kariakoo,ataenda kuhadithia nini huko mkoani?