Nina wazo la kuondoa msongamano wa watu Kariakoo, Dar es Salaam

Nina wazo la kuondoa msongamano wa watu Kariakoo, Dar es Salaam

wazo zuri ila kumbuka utapingwa sana maana kunawengi wanapona kulingana na idadi ile so jipange
 
K/koo lazima twende kudhibitisha ubora wa bidhaa na mali halisi...
Wtz si waaminifu ukiagiza kupata unachotaka ni bahati na bla bla nyingii....
 
Hiyo apo: Welcome To StartMySafari

Vijana ambao wanashinda mitandaoni kila siku hawaifahamu kabisa hii app hapo ndo utajua imefeli vibaya, vp app ya manunuzi Kkoo ambako wanaenda zaidi wazee wa mikoani wasio hata na smartphone! Simkatishi tamaa bali namwambia ukweli
Siku moja niliingia kwenye mtandao mmoja hivi nikakuta tangazo la facebook kwamba wananitaka nijiunge na mtandao wao, sasa nikajisemea Moyoni yaani hadi hawa wenye users wanakaribia 2B dunia nzima bado wanaitangaza hii app yao, kwan nani asieijua facebook sasa hivi?

Somo ni kwamba: Biashara ni matangazo hii principle haijawahi kupitwa na wakati haijalishi mkubwa au mdogo kwenye biashara!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wa mikoani ni watu wa mikoani tu, lazima waende kariakoo,ataenda kuhadithia nini huko mkoani?
Hicho tunachotaka kuhadithia tutatoa maoni kwenye hiyo app kuwe na picha na video za mazingira mbalimbali ya Dar
 
Michango ya WADAU ndio iliyonileta hapa
 
Back
Top Bottom