Nina wivu na mchepuko

Kuna ujinga mwingine unachekesha sana, umri wako tafadhali.![emoji276]
 
Nawe unajiita mwanaume mzee!? Uanaune sio kuwa na dushelele tu, pia kuna sehemu unatakiwa uoneshe uanaume wako.
 
Sawa endeleeni kunitukana na kuniona mimi mjinga,
Nina uhakika wanaume wengi wanapatwa na hii hali sipo peke yangu.
Na nyie mnaosema kuwa ukimwi hauwezi isha kwa style hii kafieni mbele sijaja kuomba ushauri wa afya hapa mimi
 

Umesharogwa tayari,,,, subiri tu kutelekeza familia na watoto. Jifunze kuamini kuwa huyo ni mchepuko tu, na usimuonee wivu pia.
 
Huyu ndo tunaita ng'ombe wa mayai!
Kama unaona wivu uwe unaenda nae akienda kugongwa ili uhakikishe hawamuumizi.
Faken kbsa! Mapenz umeyakutia ukubwani shwaini. Nyie ndo chaputa! Bladihenken!🤧
 
Msimulie mkeo jinsi huyo mchepuko anavyokutesa, nakuapia hatakutesa Tena.
Utanishukuru.
Ramadan Kareem.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Unapanik wakati nyapu ni yake. Kikubwa umeelezwa ukweli we endelea kula . Tena kula kwa tahadhari. Usije anza kulia ukinyimwa kisa kuchunguza sana.

Ata yeye anatamani kutombw* kila siku na wewe huko na mke afanyeje
 
Yaani ana mabwana zake?Na umekubaliana tu na hali?Katika binadamu wachoyo ni mimi.Sichangii mwanamke na mtu.
 
Jamaa kapanic, kasahau kwamba ni yeye ndio alileta bandiko hapa anaomba ushauri watu wanatiririka anamind tena [emoji23]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]haya mambo ya kupanic blaza bora hata umekuwa muelewa
 
Yaani ana mabwana zake?Na umekubaliana tu na hali?Katika binadamu wachoyo ni mimi.Sichangii mwanamke na mtu.

Kwahyo huyu mchepuko wangu ni dhahiri anazingua sio!!

You see alot of people apa wananiona mimi fala lakini trust me wengi wetu hapaa ambao tuna wake zetu hata ikatokea ukiwa na mchepuko hautotaka huyo mchepuko awe na anatiwa na masela wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…