BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Ila na weweYaani kinachonikera ndio hicho tu mkuu kwenda kuliwa na masela wengine afu she is making me stupid, si aniambie “This weekend i need my privacy nisimtafute” yeye anaenda huko hasemi alafu mimi nabaki natapatapa kupiga simu aiseee
Yaani kinachonikera ndio hicho tu mkuu kwenda kuliwa na masela wengine afu she is making me stupid, si aniambie “This weekend i need my privacy nisimtafute” yeye anaenda huko hasemi alafu mimi nabaki natapatapa kupiga simu aiseee
Basi tulia na wenzio washike mjegejeI would like her to be my sidechick for long, namfahamu tabia zake ndio maana sijataka kumuoa
Ndio uwafundishe sasa, ile michepuko yako unaihandle vipi.
Nashangaa na mie hapa lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama yupo na mchepuko jumatatu hadi ijumaa sijui kazi anafanya saa ngapi
Mkwe alokuroga kafa.Watafute pesa ili waongeze micheps iwe ya kutosha, mchep mmoja ukizingua unahamishia majeshi kwa mwingine [emoji3526]...
Huyu ni mchepuko wee mlongo, hana mamlaka hayo.Inamaana haumtimizii eeeh??
Inakuwaje unamruhusu akaliwe nje nawe upo??
Kashakudharau yaani,inakuwaje mwanaume unajua kabisa demu yako inaliwa na masela huko nje!!!!
All the aii una moyo wa chuma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlongo huu upambe umeanza lini?@cocastic Wauweeeeeeeeeeeh
Mkwe alokuroga kafa.
[emoji176][emoji176][emoji175][emoji175] nakusalimia kwa jina la hangaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlongo huu upambe umeanza lini?
Oooooh kazi iendeee kwa jina la Kinana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji176][emoji176][emoji175][emoji175] nakusalimia kwa jina la hangaya
Nyokwe.Hahah!
Hakuna aliyerogwa mkwe, tunaendelea pale Suleimani alipoishia...