Nina wivu na mchepuko

Nina wivu na mchepuko

Yaani kinachonikera ndio hicho tu mkuu kwenda kuliwa na masela wengine afu she is making me stupid, si aniambie “This weekend i need my privacy nisimtafute” yeye anaenda huko hasemi alafu mimi nabaki natapatapa kupiga simu aiseee
Ila na wewe

Ukipiga simu asipopokea si uelewe?

Mbona ukiwa na mkeo yeye hakusumbui na masimu???
 
Yaani kinachonikera ndio hicho tu mkuu kwenda kuliwa na masela wengine afu she is making me stupid, si aniambie “This weekend i need my privacy nisimtafute” yeye anaenda huko hasemi alafu mimi nabaki natapatapa kupiga simu aiseee

Acha kusumbua mwanamke wa mtu
 
Ila mda mwingine watu wanafeli na wanajua kabisa wanafeli ila wanakaza vichwa

Sasa umemuweka mchepuko alafu unataka awe wako peke ako wakati wewe umeshindwa kuwa kwa mkeo pekee😃😃😃😃oya hebu acha masihara mkuu
 
Umeonyesha jinsi gani ulivyo limbukeni ....
 
Hongera uko katika process ya kupewa character development.

Hapo mdada kashaamua yake. Ni muda na wewe uamue kwenda njia nyingine.

Hizo emotion unazojaza rohoni siku zitalipuka na aidha utaishia kufanya kitu kibaya, cha aibu or most likely both.

Mwambie huyo mchepuko umeona utulie kwa sasa na unaachana nae. Itakuwa ngumu ila ndip njia rahisi badala ya kusubiri akuache yeye kwa matukio kama hayo yanayoendelea hivi sasa.
 
Inamaana haumtimizii eeeh??

Inakuwaje unamruhusu akaliwe nje nawe upo??

Kashakudharau yaani,inakuwaje mwanaume unajua kabisa demu yako inaliwa na masela huko nje!!!!

All the aii una moyo wa chuma
Huyu ni mchepuko wee mlongo, hana mamlaka hayo.
 
Back
Top Bottom