Ila ule ushauri wako wa kumung'unya mtarimbo unahitaji thread yake iliyokamilika! Manake inawezekana Annina anaweza kuususia kwa kuwa tu ex gf alikuwa anautumia atakavyo (Na kujiexpress ofkozi, huwezi jua)
Hizo organs sio makombo jama...ingekuwa hivyo sidhani ingedumbukia/dumbukizwa sehemu zingine.
Dada angu wivu haukuuanzia wewe tu bali upo toka enzi za adam na eva..hata mungu wetu ana wivu kwa watu wake akiona wanamuelekea shetani na maana halisi ya mapenzi ya kweli ni wivu,mapenzi bila wivu ni sawa na chai bila majani ambayo ni maji matamu....sioni ajabu yako wewe kutoa malalamiko kwa kitu ambacho kiko proved ila cha kukushauri tu liangalie penzi kwani kupenda ni rahisi sana lkn kulihandle penzi ndo issue..yangu maoni tu
Currently Active Users Viewing This Thread: 45 (2 wapwazzz, 11 members, 22 guests and 33 legends) George_Porjie, carmel, FirstLady1, Fugwe, gkundi, JS, kibanzi, KwayuG, Matarese, MduduWashawasha, Tshala
Wapendwa,
Nipo kwenye serious mahusiano na kwa mapenzi ya Mungu tunaweza kufunga ndoa. Tatizo nina wivu kupita maelezo, yaani saa zote nahisi kuibiwa...kwa mfano kuna siku nilikuta amempa lift zilipendwa wake na alikuwa amekaa kwenye siti ya mbele ya abiria, niliumia kupitiliza nikaacha kuitumia ile siti, kuanzia siku ile nikawa nakaa siti ya nyuma kama balozi! Baada ya muda akabadili gari -thanx God sasa nakalia siti yangu!
Nyumba anayoishi nimebadili karibu kila kitu kwani nahisi vina uhusiano na mpenzi wake aliyepita na vinaweza kumkumbusha waliyokuwa wakifanya - siwezi kuvumilia, nimembadili hata yeye - mavazi, perfume, sehemu za kutembelea nk nk yote hii ni kuhakikisha mimi ndio natawala mawazo yake na si vinginevyo, lengo ni kwamba kila kitu kinachomzunguka kiwe kinamkumbusha mimi! Akisafiri tunakesha kwa PC na simu... kuhakikisha yupo peke yake nitamtaka afanye mambo kadhaa ili nijiridhishe siibiwi... msg zikiingia kwenye simu yake mapigo ya moyo yanabadilika...huwa najitahidi kujizuia kusoma msg hizo lakini asiponiambia nani ametuma na kuniruhusu kusoma naweza kukosa usingizi siku kadhaa!
Jamani nisaidieni, ni mimi tu au na wengine wako hivi? Nina wasiwasi atachoka, kuna wakati naona namnyima uhuru, najaribu kujizuia lakini nashindwa, nifanyeje?
Annina
obsession. jamaa ana mkwanja ndo maana. pia umemkuta jentonam la sivyo ungeshatulizwa. nitumie email yako kwenye private nami nitakutumia mwongozo ambao utakusaidia
saida kaloli alishasema dawa ya wivu ni kujinyonga, na namsapot mia kwa mia. so please hurry up!!!!!
obsession. jamaa ana mkwanja ndo maana. pia umemkuta jentonam la sivyo ungeshatulizwa. nitumie email yako kwenye private nami nitakutumia mwongozo ambao utakusaidia
Asante sana Mziwanda, maisha ni kujifunza
Asante sana,
Annina
Sasa mbona saa nyingine mkipewa mtarimbo huwa mnalia? Huwa mnaumia au ndio raha zenyewe? Mi siwaelewagi ujue?
u are welcome. Those i gave u are strategies. Your tasks are to implement them n evaluate the implementation. Dont forget maintenance of what u positively evaluated to be efficient n effective. Kwa lugha nyepesi, usiyachukulie hayo kinadharia
mashaka gani tena na anataka kumshauri vizuri,may be anataka kumpata dondoo zitakazomsaidia kwa hiloMmmh! Wema huu mimi nautilia mashaka!
mwache aishi kwa matumaini dada wa watu!!! ila she should expect anything frm hyo jamaaa!!!! anacheza na mamen huyu eeeh!! wakitaka wakufix bila mzaha!! unamchunga ng'ombe huyooo?!
no matter wat she does hata kaa amuelewe huyu kiumbe wa Mungu!!! Men are very complicated and the more you try to understand the comlicated they become!!!!