Nina wivu wa kibwege sana

Kuwa na wivu sio mbaya ila wivu mwingi ni dalili ya kuwa hujiamini na umiliki wa ulichonacho muda wowote unaweza nyang’anywa
Na siku zote mwizi huwa ana wivu sana maana anahisi anaibiwa kama anavyoiba yeye
Usidhan mtu kukuonea wivu sana ni anakupenda ni mtu anajilinda mwenyewe
 
πŸ˜³πŸ™„πŸ€”We nomaaaaπŸ™Œ
Hii sio kawaida
Mi Nina wivu ila we umezidi
 
Kabla sijaangalia aliyepost
πŸ™ˆπŸ™ˆNilihisi tu

Mambo, kimyaaa
Feb mwanzoni Moshi hapo, 21 feb dar karibu
Nifafanulie. Mwalimu Atakuwa Dar Feb 21? Utakuwepo? Nikiwa Dar sitakosa Ma Mchungaji πŸ™πŸΏ

Nimemwekea picha na ujumbe huo ili huyu jamaa mwenye wivu ajue kuwa kuchapiwa ni jambo la kawaida tu hata afanyeje. Na wivu wake huu wala hausaidii cho chote mbali na kumletea presha na kisukari cha haraka. Hapa duniani hakuna cha mpenzi wa peke yako. We share!

Au nadanganya mzabzab? πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ
 
Nikiri kwamba nina wivu kupita maelezo!
Hii hali mimi mwenyewe siipendi na hata hivyo nashindwa kuicontrol.

Sipendi kujiingiza kwenye mahusiano na wanawake kwa sababu hii hii!

Wakuu ni jinsi gani naweza kufanya ili kupunguza wivu?
Tafuta pesa.

Ukiwa na pesa utaogopa kufilisika kuliko kuachwa na mwanamke.
 
Yes msukuma
Niko mjini kitambo sn!
So nitakuwepo pia! Feb 21-25

Karibu sana,ni viwanja vya Kawe pembeni ya mwaposa.

Duh kwahiyo ni mwendo wa sharing πŸ˜…
 
Nadhani bado hujawahi kupigwa matukio, kuna stage ukifika kila kitu unajionea kawaida tu, hata mtu acheat mbele yako unaona fresh tu.. Wewe bado endelea kupenda tena wawili watatu hadi ukae sawa usiogope...
Mkuu nakuunga mkono. Haya mambo yanataka uzoefu, au wanasema ''ukiona nyani mzee, ujue amekwepa mishale mingi''.
 
Yes msukuma
Niko mjini kitambo sn!
So nitakuwepo pia! Feb 21-25

Karibu sana,ni viwanja vya Kawe pembeni ya mwaposa.

Duh kwahiyo ni mwendo wa sharing πŸ˜…
Nilikuwa na safari hizo tarehe ngoja niahirishe kabisa. Utakuwa unahudumu idara gani? Mungu Akipenda sitakosa hata siku moja πŸ™πŸΏ

Ndiyo. We share. Wa peke yako utampata wapi katika dunia hii ya sasa iliyotawaliwa na pesa? 😳😳😳
 
Nadhani bado hujawahi kupigwa matukio, kuna stage ukifika kila kitu unajionea kawaida tu, hata mtu acheat mbele yako unaona fresh tu.. Wewe bado endelea kupenda tena wawili watatu hadi ukae sawa usiogope...
Mpaka kuna time inafika inabidi uigize tu kua una wivu, maana utamkwaza mwenzio.
Mtu gani huumii atahisi humpendi kumbe wala ni vile huumii kindezi.
 
Nitakua nje tu ,hua tunavaa mikanda ,kukusanya sadaka ,kubeba wanao ombewa nk .....sitakaa ndani this time!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…