Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Mimi niko tayari kuvaa bomuShauri yako😃😃😃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi niko tayari kuvaa bomuShauri yako😃😃😃
Awapi, sitaki kesi mimiMimi niko tayari kuvaa bomu
Binti usinitende ivyo mi mtoto wa mwanamke mwenzako. Fungua moyo ning'oe hayo matembele yaliyoachwa na kijana wa hovyo, nami nipande ua Rose. TafadhaliAwapi, sitaki kesi mimi
Wacha weee😂😂Binti usinitende ivyo mi mtoto wa mwanamke mwenzako. Fungua moyo ning'oe hayo matembele yaliyoachwa na kijana wa hovyo, nami nipande ua Rose. Tafadhali
Mama kunjua moyo huoWacha weee😂😂
Huyu km MimiUna umri gani? Ila wivu wa kiboya haujali umri
Kabla sijaangalia aliyepost
😳🙄🤔We nomaaaa🙌mimi nina wivu wa kimapenzi. Siku moja nikamuona mpenzi wangu akisalimiana na jamaa wa kazini kwao kwa kukumbatiana tena kumbatio la kujiachia mzima mzima, aisee nilihisi kama nataka kubast hivi, nikataka kuongea sauti haitoki, miguu ilianza kutetemeka ikabidi nijifanye kama napokea simu ili nisione tukio lingine maana ningezima!
Nifafanulie. Mwalimu Atakuwa Dar Feb 21? Utakuwepo? Nikiwa Dar sitakosa Ma Mchungaji 🙏🏿Kabla sijaangalia aliyepost
🙈🙈Nilihisi tu
Mambo, kimyaaa
Feb mwanzoni Moshi hapo, 21 feb dar karibu
Tafuta pesa.Nikiri kwamba nina wivu kupita maelezo!
Hii hali mimi mwenyewe siipendi na hata hivyo nashindwa kuicontrol.
Sipendi kujiingiza kwenye mahusiano na wanawake kwa sababu hii hii!
Wakuu ni jinsi gani naweza kufanya ili kupunguza wivu?
Yes msukumaNifafanulie. Mwalimu Atakuwa Dar Feb 21? Utakuwepo? Nikiwa Dar sitakosa Ma Mchungaji 🙏🏿
Nimemwekea picha na ujumbe huo ili huyu jamaa mwenye wivu ajue kuwa kuchapiwa ni jambo la kawaida tu hata afanyeje. Na wivu wake huu wala hausaidii cho chote mbali na kumletea presha na kisukari cha haraka. Hapa duniani hakuna cha mpenzi wa peke yako. We share!
Au nadanganya mzabzab? 😁😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
Mkuu nakuunga mkono. Haya mambo yanataka uzoefu, au wanasema ''ukiona nyani mzee, ujue amekwepa mishale mingi''.Nadhani bado hujawahi kupigwa matukio, kuna stage ukifika kila kitu unajionea kawaida tu, hata mtu acheat mbele yako unaona fresh tu.. Wewe bado endelea kupenda tena wawili watatu hadi ukae sawa usiogope...
Yeah ni kweliMkuu nakuunga mkono. Haya mambo yanataka uzoefu, au wanasema ''ukiona nyani mzee, ujue amekwepa mishale mingi''.
Nilikuwa na safari hizo tarehe ngoja niahirishe kabisa. Utakuwa unahudumu idara gani? Mungu Akipenda sitakosa hata siku moja 🙏🏿Yes msukuma
Niko mjini kitambo sn!
So nitakuwepo pia! Feb 21-25
Karibu sana,ni viwanja vya Kawe pembeni ya mwaposa.
Duh kwahiyo ni mwendo wa sharing 😅
Mpaka kuna time inafika inabidi uigize tu kua una wivu, maana utamkwaza mwenzio.Nadhani bado hujawahi kupigwa matukio, kuna stage ukifika kila kitu unajionea kawaida tu, hata mtu acheat mbele yako unaona fresh tu.. Wewe bado endelea kupenda tena wawili watatu hadi ukae sawa usiogope...
Nitakua nje tu ,hua tunavaa mikanda ,kukusanya sadaka ,kubeba wanao ombewa nk .....sitakaa ndani this time!Nilikuwa na safari hizo tarehe ngoja niahirishe kabisa. Utakuwa unahudumu idara gani? Mungu Akipenda sitakosa hata siku moja 🙏🏿
Ndiyo. We share. Wa peke yako utampata wapi katika dunia hii ya sasa iliyotawaliwa na pesa? 😳😳😳
Sawa mtumishi. Tuombe uzima 🙏🏿Nitakua nje tu ,hua tunavaa mikanda ,kukusanya sadaka ,kubeba wanao ombewa nk .....sitakaa ndani this time!