Nina wivu wa kibwege sana

kidogo nikuelewe
 
Una pointi naomba usikilizwe!
 
Nikiri kwamba nina wivu kupita maelezo!
Hii hali mimi mwenyewe siipendi na hata hivyo nashindwa kuicontrol.

Sipendi kujiingiza kwenye mahusiano na wanawake kwa sababu hii hii!

Wakuu ni jinsi gani naweza kufanya ili kupunguza wivu?
Kama una wivu kama niliokuwa nao mimi basi nikupe pole ,na Mungu akusaidie.
Jaribu kutembea na wanawake tofauti tofauti kwa wakati mmoja hii itakusaidia kupunguza hilo tatizo,nimesema kupunguza sio kumaliza ,fanya hivyo utakuja kunishukuru.
 
Mpendwa wngu kila anaponipigia simu kunijulisha jambo lazima kuna neno aliongeze na binafsi sioni umuhimu wa hiyo nyongeza. Hii inamaanisha nini? Mf nilikuwa naongea na kiongozi ni mwanamke au nilienda kumuona jirani yngu ni mdada wakati mwingine nipo na daktar ni wakike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…