Nina wivu wa kibwege sana

Nina wivu wa kibwege sana

Do not fall... Ukiona unafall na kushindwa kujizuia kwa mtu achana nae, Took them as wanavyotaka... Mfano kama unavyoona wanawake wa sasa wanaangalia pesa zako na wewe angalia haja zako then go.
 
Mojawapo ya njia ambayo mtu inaweza kukusaidia kuondokana na wivu wa mapenzi kwanza jitoe kwenye relationship. Kisha ishi kama bachelor uwe viewer tu wa mapenzi. Hapo utajifunza kujipenda mwenyewe, wivu utaisha kabisa.
 
Nikiri kwamba nina wivu kupita maelezo!
Hii hali mimi mwenyewe siipendi na hata hivyo nashindwa kuicontrol.

Sipendi kujiingiza kwenye mahusiano na wanawake kwa sababu hii hii!

Wakuu ni jinsi gani naweza kufanya ili kupunguza wivu?
Wivu sio shida wivu ni silaa inayodetect wizi wa mapenzi haraka sana na mara nyingi huwa ni kweli mfano ukiona mwanamke anachat sana kwenye simu ukasikia wivu jua anachat na lijamaa kweli ukimuuliza atakimbilia ww na wivu wako....ila wivu ni silaa ambayo hudetect cheating haraka sana.........


Na watu wenye wivu huwa ni wataalam wa kucheat so anajua njia zote za kucheat so akiona tu jambo anajua tu hii cheating


Mfano mimi nishacheat hadi na wake za watu so siku nikioa dalili za cheater nazijua vizuri inshort

Mapenzi ni jambo la kishenzi ukiwa serious ....ila wivu muhimu sana mkuuu sababu unakupa taarifa muhimu sana bila ww kujua
 
Mojawapo ya njia ambayo mtu inaweza kukusaidia kuondokana na wivu wa mapenzi kwanza jitoe kwenye relationship. Kisha ishi kama bachelor uwe viewer tu wa mapenzi. Hapo utajifunza kujipenda mwenyewe, wivu utaisha kabisa.
Kama umeoa hili tatizo unasolve vipi?
 
Yani wewe ni mimi kabisa. Hadi sometimes namuonea huruma kaka wa watu maana nawasha moto kila siku mwenyewe ananituliza tu masikini!
Nimejaribu sana walau kupunguza nimeshindwa, mwisho nimekubali kuishi nao hivyohivyo.
watu wamenishambulia ati sijakua! Vipi mwenzangu wewe una umri gani kwani?
 
Siri ya kupunguza wivu

Kujiamini kuwa wewe ni bora kuliko mtu yeyote
Kujiweka bize na mambo yako ya msingi
Kuamini kwamba mtu akikucheat bas yeye ndo hafai na sio wewe ndo haufai
kweli mkuu, akinicheat hafai, na siwezi kuendelea nae hata kwa gharama kiasi gani, hata nikihisi dalili tu! hapo ndo mapenzi yananishinda
 
Back
Top Bottom