Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
imenichoma sana hio🤣🤣🤣🤣 aah shemeji utaharibu sasa. Blaza hana shida kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
imenichoma sana hio🤣🤣🤣🤣 aah shemeji utaharibu sasa. Blaza hana shida kabisa.
Kuwa na mademu zaid ya m1Nikiri kwamba nina wivu kupita maelezo!
Hii hali mimi mwenyewe siipendi na hata hivyo nashindwa kuicontrol.
Sipendi kujiingiza kwenye mahusiano na wanawake kwa sababu hii hii!
Wakuu ni jinsi gani naweza kufanya ili kupunguza wivu?
Ni shetwaini gani kakupitisha kwenye shuruba hizo jama? Mpaka sisi ndio tupate shida hiziTena uogope kabisa,ukae mbali😃😃
Wivu sio shida wivu ni silaa inayodetect wizi wa mapenzi haraka sana na mara nyingi huwa ni kweli mfano ukiona mwanamke anachat sana kwenye simu ukasikia wivu jua anachat na lijamaa kweli ukimuuliza atakimbilia ww na wivu wako....ila wivu ni silaa ambayo hudetect cheating haraka sana.........Nikiri kwamba nina wivu kupita maelezo!
Hii hali mimi mwenyewe siipendi na hata hivyo nashindwa kuicontrol.
Sipendi kujiingiza kwenye mahusiano na wanawake kwa sababu hii hii!
Wakuu ni jinsi gani naweza kufanya ili kupunguza wivu?
Kama umeoa hili tatizo unasolve vipi?Mojawapo ya njia ambayo mtu inaweza kukusaidia kuondokana na wivu wa mapenzi kwanza jitoe kwenye relationship. Kisha ishi kama bachelor uwe viewer tu wa mapenzi. Hapo utajifunza kujipenda mwenyewe, wivu utaisha kabisa.
Kama umeoa na una tatizo la wivu jitahidi uishi mbali au uwe mtu wa safari safari. Baadae itakusaidia wivu utaisha.Kama umeoa hili tatizo unasolve vipi?
Asa ww naye utakaukiwa maji mwilini,mda wote unalia tu 🙄aisee nimelia sana mkuu pole z🥲
basi nibusu mkuuAsa ww naye utakaukiwa maji mwilini,mda wote unalia tu 🙄
😂😂😂😂😃,,ni kijana mwenzenu ndo kasababishaNi shetwaini gani kakupitisha kwenye shuruba hizo jama? Mpaka sisi ndio tupate shida hizi
watu wamenishambulia ati sijakua! Vipi mwenzangu wewe una umri gani kwani?Yani wewe ni mimi kabisa. Hadi sometimes namuonea huruma kaka wa watu maana nawasha moto kila siku mwenyewe ananituliza tu masikini!
Nimejaribu sana walau kupunguza nimeshindwa, mwisho nimekubali kuishi nao hivyohivyo.
saana! [emoji23]Hebu tuacheni jamani! Tunaitamani sana hiyo mioyo yenu lakini imeshindikana sasa.
Wivu unatesa sana.
hapana, ni wivu wa kimapenzi tu wala si vinginevyoUsipokuwa kwenye mahusiano napo bado utakuwa na wivu?
Ivo yaanNadhani bado hujawahi kupigwa matukio, kuna stage ukifika kila kitu unajionea kawaida tu, hata mtu acheat mbele yako unaona fresh tu.. Wewe bado endelea kupenda tena wawili watatu hadi ukae sawa usiogope...
Nakuona unakisemea kibabu chako Cheney wivu wa kiboya?kuna vibabu wana wivu wa kiboya
ndg yangu! unaweza kupata presha au kuua limtu kwa vitu vya kijingaYaani anakumbatiwa mbele yako?
njoo uwe weweTafuta mume
kweli mkuu, akinicheat hafai, na siwezi kuendelea nae hata kwa gharama kiasi gani, hata nikihisi dalili tu! hapo ndo mapenzi yananishindaSiri ya kupunguza wivu
Kujiamini kuwa wewe ni bora kuliko mtu yeyote
Kujiweka bize na mambo yako ya msingi
Kuamini kwamba mtu akikucheat bas yeye ndo hafai na sio wewe ndo haufai