DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Ha ha ha.....hata wapiga punyeto uzionea wivu sabuni! Ha ha ha....Hii Kali Aisee[emoji1787][emoji1787]Unakoelekea ata sabuni unayoitumia kujichua utaionea wivu ikitumiwa na mtu mwingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha.....hata wapiga punyeto uzionea wivu sabuni! Ha ha ha....Hii Kali Aisee[emoji1787][emoji1787]Unakoelekea ata sabuni unayoitumia kujichua utaionea wivu ikitumiwa na mtu mwingine
Unamuweza nan😅😅😅
Aah mi mtu mwenye asili ya polygamy simuwezi
Mapungufu mengine yanavumilika except, smoker, polygamy......Unamuweza nan
Usitukane mamba kabla hujavuka mtoMapungufu mengine yanavumilika except, smoker, polygamy......
Yesu anisaidie
Siwezi aiseeUsitukane mamba kabla hujavuka mto
Ukiwa na wivu wa kibwege, tiba ni kuuvua ubwege kwanza baadae wivu utaondoka wenyeweNikiri kwamba nina wivu kupita maelezo!
Hii hali mimi mwenyewe siipendi na hata hivyo nashindwa kuicontrol.
Sipendi kujiingiza kwenye mahusiano na wanawake kwa sababu hii hii!
Wakuu ni jinsi gani naweza kufanya ili kupunguza wivu?
Upo singo unainjoiSiwezi aisee
Ndo maana Niko mwenyewe
NdioooUpo singo unainjoi
Changamka kabla ya expire date haijafikaNdiooo
Ngoja kwanza tuone mambo ysnaendaje
No stress 😬
Mungu ndie anajua Muda sahihi na mtu sahihiChangamka kabla ya expire date haijafika
Acha uoga mkuu, woga wako ndio umaskini wako.Mungu ndie anajua Muda sahihi na mtu sahihi
Ukiongia kichwakichwa unatoka mwenyewe
Nishakutana na VimeoAcha uoga mkuu, woga wako ndio umaskini wako.
Utatulia hadi lin na umri unakimbiaNishakutana na Vimeo
Emu kwanza nitulie🤣
Mpk atakapotokea mhusikaUtatulia hadi lin na umri unakimbia
Atokee wap na umesema unatulia kwanza?Mpk atakapotokea mhusika
Nikiri kwamba nina wivu kupita maelezo!
Hii hali mimi mwenyewe siipendi na hata hivyo nashindwa kuicontrol.
Sipendi kujiingiza kwenye mahusiano na wanawake kwa sababu hii hii!
Wakuu ni jinsi gani naweza kufanya ili kupunguza wivu?
Ndio kutulia SI unaposubiriAtokee wap na umesema unatulia kwanza?