Nina wivu wa kibwege sana

Nina wivu wa kibwege sana

Nikiri kwamba nina wivu kupita maelezo!
Hii hali mimi mwenyewe siipendi na hata hivyo nashindwa kuicontrol.

Sipendi kujiingiza kwenye mahusiano na wanawake kwa sababu hii hii!

Wakuu ni jinsi gani naweza kufanya ili kupunguza wivu?
Ukiwa na wivu wa kibwege, tiba ni kuuvua ubwege kwanza baadae wivu utaondoka wenyewe
 
Nikiri kwamba nina wivu kupita maelezo!
Hii hali mimi mwenyewe siipendi na hata hivyo nashindwa kuicontrol.

Sipendi kujiingiza kwenye mahusiano na wanawake kwa sababu hii hii!

Wakuu ni jinsi gani naweza kufanya ili kupunguza wivu?

Kuna mpenzi wangu mmoja asili yake kigoma

Aisee ule sio wivu ni karaha!!… Yaaan mwanamke anawivu huyo hata kwa ndugu zangu wa kike nafikiri kumuacha!!

Ningekupea huyo mungewezana
 
Nilikutana na mchaga mmmoja ana wivu wa kijinga na kujishtukia nadhan
wengine wivu ni namna ya kujihami siku nikaja kujua anat*mbwa si kawaida had najiuliza sasa wivu wote uo n wann
 
Atokee wap na umesema unatulia kwanza?
Ndio kutulia SI unaposubiri
Yaani ukitoka kwenye relationship, usiingie kwenye relationship nyingine haraka, tulia kwanza,jitafakari
Ukiongia haraka kabla hujawa healed ni shida pia
 
Chief inabidi umuonee wivu mwanamke uliomkuta bikra tu zaidi ya hapo hata wao watakushangaa
 
Back
Top Bottom