kijana naona kama una uroho wa pesa ya haraka ndo maana unataka kufanya shortcat.kama unataka kuwa mtaalam kwenye fani yoyote usijaribu shortcut kwani soko la ajira linahitaji wasomi wenye digree moja au zaidi hivyo jiunge a lever. baadae chuo kikuu utafanikiwaMimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2012. Katika matokeo yangu nimebahatika kupata Div One ya point 11...PHY-A, CHEM-A, MATH-A, BIO-C, Additional MATH-B....ningpenda kujua kati ya A level na DIT (technical education) ipi ni nzur zaidi, na kama DIT ni kuzuri zaidi, je Mining Engineering ina soko katika ajira (wahandisi hulipwa mshahara gani?)
Asenteni.