bloggerboy
JF-Expert Member
- Nov 13, 2017
- 568
- 1,221
Katiba mpya itarahisisha vipi Maisha ya mwananchi Mlalahoi?Katiba Mpya ni Sasa
Itasaidia kupatikana viongozi waadilifu ambao hawatamshauri Rais kuhusu kuigiza muvi ambazo hata vijana wetu wangeweza kuigiza na kumuongezea kipato,pia angesolve swala la Ajira kwa kiwango chake piaKatiba mpya itarahisisha vipi Maisha ya mwananchi Mlalahoi?
Punguza ndoto za Alinacha.Itasaidia kupatikana viongozi waadilifu ambao hawatamshauri Rais kuhusu kuigiza muvi ambazo hata vijana wetu wangeweza kuigiza na kumuongezea kipato,pia angesolve swala la Ajira kwa kiwango chake pia
Sio Hawa waliopo wanaotwambiwa, tuhamie burundi
Hizo ndizo zitakazotufikisha ktk nchi tuitakayoPunguza ndoto za Alinacha.
Italeta viongozi waadilifu na wanaojali maisha ya mlalahoi.Katiba mpya itarahisisha vipi Maisha ya mwananchi Mlalahoi?
Kama unabweka bweka Kama nyumbu maana yake wewe Ni msukule wa makengeza Mbowe.Italeta viongozi waadilifu na wanaojali maisha ya mlalahoi.
Kama unakataa Katiba Mpya wewe ni ccm fisadi
Kenya baada ya kupata Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi wanaishi Kama peponi. Kuna watawala waadilifu kweli kweli.Itasaidia kupatikana viongozi waadilifu ambao hawatamshauri Rais kuhusu kuigiza muvi ambazo hata vijana wetu wangeweza kuigiza na kumuongezea kipato,pia angesolve swala la Ajira kwa kiwango chake pia
Sio Hawa waliopo wanaotwambiwa, tuhamie burundi
Kwani mfumuko wa bei na Hali ngumu ya maisha,na CCM nao inawahusu? Nilifikili vitu kupanda bei na maisha ,wamepandishiwa wanachama wa Chadema,maana walisema , Chadema imewachelewesha sana kupata maendeleoKatiba mpya itarahisisha vipi Maisha ya mwananchi Mlalahoi?
Hata Mimi nashangaa mfumko wa Bei na hali ngumu sana Maisha IPO DUNIA NZIMA Hadi sisi imetukuta wakati SISI HATUKO DUNIANI na Viongozi wetu Wana POWER ya KUFANYA MIUJIZA.Kwani mfumuko wa bei na Hali ngumu ya maisha,na CCM nao inawahusu? Nilifikili vitu kupanda bei na maisha ,wamepandishiwa wanachama wa Chadema,maana walisema , Chadema imewachelewesha sana kupata maendeleo
Tuliyataka wenyewe. Tutisoma namba. TUNAISOMA KWELI NA BADOWanabodi,
Ninachofurahi Sasa hivi, Hadi CCM Wanalia Lia kuhusu Hali ya maisha, nilidhani ni Chadema tu
Yani CCM ni wasahaulifu sana wamesahau kwamba wenyewe ndio walisema Serikali ya chama kimoja italeta maendeleo chap chap,
Wakateka watu, wakawaua ,wakawapa kesi pia ili waonekane hawana sifa za kugombea na kuwa viongozi,
Mwendazake akawapitisha bila kupingwa wakataka pia kumuongezea muda wa kuongoza mpaka maisha.
Kaingia Mama, wakamsifia sana Ila leo kila mtu hasa CCM wanalalamika kuhusu ugumu wa maisha kwa Sasa.
#Suluhu ya yote
#Tumehuru ya uchaguzi
#katiba mpya
Kama unabweka bweka Kama nyumbu maana yake wewe Ni msukule wa makengeza Mbowe.
Kenya hao hapo Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi imewasaidia nini???
ni wapi dunia hii hakuna umaskini? haki na usawa ni jambo kubwa sana ..checks and blance za muhimili ni za maana sana siyo kuwa na majaji na speaker wa bunge ambao wanageuka chawa kwa mtawala, ambao muda wowote wanaambiwa funga huyo,usimpe dhamana, fukuza bungeni nitamshughulikia huku njeNi kweli baada ya Jaji mkui kupatikana kwa interview kwenye TV Kenya sasa hivi Hakuna mfumko wa Bei wala hali ngumu sana ya Maisha
Watz nyie mnapenda sana kulalamika bei bei, sie huku marekani debe la mahindi tunanunua elf70 lkn hatulalamiki, nyie huko tz debe la mahindi mnanunua elf12 lkn mikelele mnayopiga sio ya nchi hii.Hata Mimi nashangaa mfumko wa Bei na hali ngumu sana Maisha IPO DUNIA NZIMA Hadi sisi imetukuta wakati SISI HATUKO DUNIANI na Viongozi wetu Wana POWER ya KUFANYA MIUJIZA.
Wanashindwa Nini kufanya MIUJIZA.
Usitumie kasoro ya maumbile ya mtu kumkashifu. Kwa nini umwite makengezaKama unabweka bweka Kama nyumbu maana yake wewe Ni msukule wa makengeza Mbowe.
Kenya hao hapo Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi imewasaidia nini???
Katiba mpya itaongeza uwajibikaji kwa viongozi lkn pia itasaidia kuimarisha taasisi zetu badala ya kutegemea mtu tutategemea mfumoKatiba mpya itarahisisha vipi Maisha ya mwananchi Mlalahoi?
Mpaka CCM watuelewe ni muda mrefu sana.Wanabodi,
Ninachofurahi Sasa hivi, Hadi CCM Wanalia Lia kuhusu Hali ya maisha, nilidhani ni Chadema tu
Yani CCM ni wasahaulifu sana wamesahau kwamba wenyewe ndio walisema Serikali ya chama kimoja italeta maendeleo chap chap,
Wakateka watu, wakawaua ,wakawapa kesi pia ili waonekane hawana sifa za kugombea na kuwa viongozi,
Mwendazake akawapitisha bila kupingwa wakataka pia kumuongezea muda wa kuongoza mpaka maisha.
Kaingia Mama, wakamsifia sana Ila leo kila mtu hasa CCM wanalalamika kuhusu ugumu wa maisha kwa Sasa.
#Suluhu ya yote
#Tumehuru ya uchaguzi
#katiba mpya