Ninachofurahi Sasa hivi, Hadi CCM Wanalia lia kuhusu hali ya maisha, nilidhani ni CHADEMA tu

Katiba mpya itaongeza uwajibikaji kwa viongozi lkn pia itasaidia kuimarisha taasisi zetu badala ya kutegemea mtu tutategemea mfumo

Jambo lingine ni kwamba tuna watu wengi wamepewa madaraka makubwa kisa ni makada wa chama fulani wakati hawana hadhi, haiba,Kariba, wala uzarendo na nchi hii hivyo tubadilike katiba ni muhimu sana
Hilo limeonesha mafanikio wapi?
 
Hilo limeonesha mafanikio wapi?
Hata siku moja kenyatta hawezi muambia speaker wa bunge huko kwamba fukuza hao nitawashughulikia huku nje au kuwaambia majaji pigeni faini muongeze mapato ya mahakama..nevr never never mihimili katika nchi nyingi tu inaheshimiana....
siyo DPP anaamua kukuweka ndani upelelezi unakaa miaka kumi unaingia plea bargain pesa zinaliwa unanunua uhuru wako..vitu kama hivi ajitu yenye roho mbaya hayataki mihimili iwekwe vizuri kwenye katiba mpya sababu inawafaidisha...kama mapepo yakisikia jina la Yesu
 
Hilo limeboresha vipi Maisha ya mkenya MLALAHOI?
 
Mafuta yapo bei chee russia tukinunua huko lita itauzwa TSH 1600 TU tatizo ni huyu bibi ni zuzu na mpuuzi hana akili timamu kichwani
Mkune kwa staha anasema, hivi hii akili ya kusibiri watu wenye akili watokee CCM mnazitoa wapi. CCM ni janga tu na watu wake wote ni majanga kwa kweli.
 
Kama unabweka bweka Kama nyumbu maana yake wewe Ni msukule wa makengeza Mbowe.

Kenya hao hapo Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi imewasaidia nini???

Unachekesha!! GDP mpaka bajeti ya Kenya wametuacha almost half alafu unataka kumlinganisha vitu Gani.

Kenyatta alipoingia 2013 alikuta ndio katiba mpya imeanza, ndani ya miaka 10 uchumi umekua kutoka trillion 100 na sasa ni trillion 200 plus. Wakati huo huo Tanzania tuna trillion 100 yaani walipokuwepo wenzetu miaka 10 iliyopita ndio sisi tupo 2021!!

Then unaropoka hakuna faida ya Katiba Mpya?
 
Katiba mpya itarahisisha vipi Maisha ya mwananchi Mlalahoi?
Ingeleta uwajibikaji mfano bunge lingezuia tozo za ajabu ajabu ila kwa sasa ni ngumu kuzuia sababu ukipinga bajeti ya serikali kuu Rais analivunja bunge.

Pia Katiba mpya ingeleta mahakama huru so mafisadi yangeshughulikiwa bila kuogopwa kuliko sasa ambako mahakama haipo independent kiteuzi na kimapato
 
Unachekesha!! GDP mpaka bajeti ya Kenya wametuacha almost half alafu unataka kumlinganisha vitu Gani.

Kenyatta alipoingia 2013 alikuta ndio katiba mpya imeanza, ndani ya miaka 10 uchumi umekua kutoka trillion 100 na sasa ni trillion 200 plus. Wakati huo huo Tanzania tuna trillion 100 yaani walipokuwepo wenzetu miaka 10 iliyopita ndio sisi tupo 2021!!

Then unaropoka hakuna faida ya Katiba Mpya?
Huyo Jamaa Mkaruka ana mambo ya ajabu sana. Sijui ni uelewa mdogo wa mambo maana sitaki kuamini kwamba ni uchawa tu.
 
Kama unabweka bweka Kama nyumbu maana yake wewe Ni msukule wa makengeza Mbowe.

Kenya hao hapo Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi imewasaidia nini???

We jamaa unaogopa katiba mpya kama ukoma. Kwani woga wako ni nini hasa? kwanini uwe wewe tu?
 
Wanabodi,

Ninachofurahi Sasa hivi, Hadi CCM Wanalia Lia kuhusu Hali ya maisha, nilidhani ni Chadema tu

Yani CCM ni wasahaulifu sana wamesahau kwamba wenyewe ndio walisema Serikali ya chama kimoja italeta maendeleo chap chap.

Wakateka watu, wakawaua, wakawapa kesi pia ili waonekane hawana sifa za kugombea na kuwa viongozi.

Mwendazake akawapitisha bila kupingwa wakataka pia kumuongezea muda wa kuongoza mpaka maisha.

Kaingia Mama, wakamsifia sana Ila leo kila mtu hasa CCM wanalalamika kuhusu ugumu wa maisha kwa Sasa.

#Suluhu ya yote
#Tumehuru ya uchaguzi
#katiba mpya
Maendeleo hayana chama..vivyohivyo umasikini nao hauna chama.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wanabodi,

Ninachofurahi Sasa hivi, Hadi CCM Wanalia Lia kuhusu Hali ya maisha, nilidhani ni Chadema tu

Yani CCM ni wasahaulifu sana wamesahau kwamba wenyewe ndio walisema Serikali ya chama kimoja italeta maendeleo chap chap.

Wakateka watu, wakawaua, wakawapa kesi pia ili waonekane hawana sifa za kugombea na kuwa viongozi.

Mwendazake akawapitisha bila kupingwa wakataka pia kumuongezea muda wa kuongoza mpaka maisha.

Kaingia Mama, wakamsifia sana Ila leo kila mtu hasa CCM wanalalamika kuhusu ugumu wa maisha kwa Sasa.

#Suluhu ya yote
#Tumehuru ya uchaguzi
#katiba mpya
CCM WAMEJIKABA KOO NCHI IMEKUWA NGUMU

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Ingeleta uwajibikaji mfano bunge lingezuia tozo za ajabu ajabu ila kwa sasa ni ngumu kuzuia sababu ukipinga bajeti ya serikali kuu Rais analivunja bunge.

Pia Katiba mpya ingeleta mahakama huru so mafisadi yangeshughulikiwa bila kuogopwa kuliko sasa ambako mahakama haipo independent kiteuzi na kimapato
Aspoelewa basi, Lakini wanaelewa sema wanahisi Katiba Mpya itawaondolea mamlaka.
 
Wanabodi,

Ninachofurahi Sasa hivi, Hadi CCM Wanalia Lia kuhusu Hali ya maisha, nilidhani ni Chadema tu

Yani CCM ni wasahaulifu sana wamesahau kwamba wenyewe ndio walisema Serikali ya chama kimoja italeta maendeleo chap chap.

Wakateka watu, wakawaua, wakawapa kesi pia ili waonekane hawana sifa za kugombea na kuwa viongozi.

Mwendazake akawapitisha bila kupingwa wakataka pia kumuongezea muda wa kuongoza mpaka maisha.

Kaingia Mama, wakamsifia sana Ila leo kila mtu hasa CCM wanalalamika kuhusu ugumu wa maisha kwa Sasa.

#Suluhu ya yote
#Tumehuru ya uchaguzi
#katiba mpya
Sasahivi hakuna mtu anaitaka CCM tena
 
Hata siku moja kenyatta hawezi muambia speaker wa bunge huko kwamba fukuza hao nitawashughulikia huku nje au kuwaambia majaji pigeni faini muongeze mapato ya mahakama..nevr never never mihimili katika nchi nyingi tu inaheshimiana....
siyo DPP anaamua kukuweka ndani upelelezi unakaa miaka kumi unaingia plea bargain pesa zinaliwa unanunua uhuru wako..vitu kama hivi ajitu yenye roho mbaya hayataki mihimili iwekwe vizuri kwenye katiba mpya sababu inawafaidisha...kama mapepo yakisikia jina la Yesu
Hawezi kumwambia lakini anawashugulikia vibaya mnoo.

Pamoja na Jaji wa Mahakama kutoa Hukumu Mara 20 kiwa Miguna Miguna arudi Kenya kwasababu Ni Raia wa Kenya lakini KENYATTA Amekataa Kata kata na mpaka sasa Miguna Miguna Yuko Canada.

Na Jaji Mkuu Hana Cha kumfanya Uhuru KENYATTA
 
Back
Top Bottom