Ninachofurahi Sasa hivi, Hadi CCM Wanalia lia kuhusu hali ya maisha, nilidhani ni CHADEMA tu

Ninachofurahi Sasa hivi, Hadi CCM Wanalia lia kuhusu hali ya maisha, nilidhani ni CHADEMA tu

Wanabodi,

Ninachofurahi Sasa hivi, Hadi CCM Wanalia Lia kuhusu Hali ya maisha, nilidhani ni Chadema tu

Yani CCM ni wasahaulifu sana wamesahau kwamba wenyewe ndio walisema Serikali ya chama kimoja italeta maendeleo chap chap.

Wakateka watu, wakawaua, wakawapa kesi pia ili waonekane hawana sifa za kugombea na kuwa viongozi.

Mwendazake akawapitisha bila kupingwa wakataka pia kumuongezea muda wa kuongoza mpaka maisha.

Kaingia Mama, wakamsifia sana Ila leo kila mtu hasa CCM wanalalamika kuhusu ugumu wa maisha kwa Sasa.

#Suluhu ya yote
#Tumehuru ya uchaguzi
#katiba mpya
FB_IMG_1575390800494.jpg
FB_IMG_1575390792397.jpg
FB_IMG_1575390806699.jpg
 
Huyo Jamaa Mkaruka ana mambo ya ajabu sana. Sijui ni uelewa mdogo wa mambo maana sitaki kuamini kwamba ni uchawa tu.
Makengeza Mbowe amewamudu kinyama. Kayajenga kisaikolojia mateka yake yote kiasi kwamba yakimwabudu yanaanza kujiona Yana akili kubwa kinyama
 
Back
Top Bottom