Ukweli Usemwe
Senior Member
- Oct 29, 2013
- 168
- 77
Kwahiyo CDM Mwenyekiti wake na Katibu wake Ndoa zimewashinda???wanaishi na Maawala!!!
sheria inasema labda kama mmoja wa wanandoa atazini nje ya ndoa.sasa sijui nani alivunja uaminifu kwa mwenzake hapa.Wakristu Tanzania hawaachani nasikia
Hakuna mtu dhaifu kwenye 'Mambo ya mwili'kama Zitto Cyber s.e.x. kwake ni kawaida alisharekodiwa sana tu...bora afunge mdomo tu.
Duh, ndio yamekuwa haya tena. Mlikuwa hamjatuambia kwamba Mbowe wameachana na Lilian. Ni vizuri mmeweka wazi jambo hili, tunashukuru.Tunazidi kumjua Rais wetu mtarajiwa Hon Freeman Aikael Mbowe. Lakini mkuu mngejipanga vizuri kwa sababu kwenye Mkutano Mkuu wa Chama mwaka 2010 wakati wakumtambulisha Dk Slaa kama mgombea Lilian alitambulishwa kama mke wa Mhe Mbowe. Sasa hapa ilikuwaje? Na tangu lini tena talaka ikawa siri tena kwa kiongozi mzito wa aina ya Mbowe? Kamanda jipange upya, hapa bado. Mwambie akupe majibu ya haya maswali halafu njoo tena tuendelee kumkida nyani gladi!
Kwahiyo JOYCE MUKYA alipata ubunge wa viti maalum kupitia Mbowe? Kama Rose Kamili alivyopata kiti maalum kupitia Dr.Slaa, au Christina Lissu kupitia Tundu Lissu na Mtoto na Mkwe wa Ndesamburo kupitia baba yao. Kweli CHADEMA mnajuana haswa!
Ni aibu sana kwa viongozi wanaojipambanua kuwa wanataka wapewe nchi, lakini uongozi ngazi ya familia wamefeli.
umelipwa shilingi ngapi?
umelipwa shilingi ngapi?
Nchi hapewi mtu au chama we mburula!
mbowe hawez kuongoza nch bora dr slaa!
nimecheka sana!
Ni aibu sana kwa viongozi wanaojipambanua kuwa wanataka wapewe nchi, lakini uongozi ngazi ya familia wamefeli.
Kwahiyo JOYCE MUKYA alipata ubunge wa viti maalum kupitia Mbowe? Kama Rose Kamili alivyopata kiti maalum kupitia Dr.Slaa, au Christina Lissu kupitia Tundu Lissu na Mtoto na Mkwe wa Ndesamburo kupitia baba yao. Kweli CHADEMA mnajuana haswa!
Ifungulie thread yake tutakuja kuchangia huko. Ila hapa anazungumziwa mwenyekiti wa CHADEMA.Muulize mwenyekiti wako usiku upanga anafata nini? Au huko ndio kuiweza familia? Msisahau ccm kuna uozo usioelezeka tukija tu kwa wakuu wa wilaya na mikoa waliopewa kwa fadhila za walaji ni wengi na inajulikana
Vipi na wewe unawashwa ili wakuoe na wewe pia. Acha wivu wa kike.Kwahiyo CDM Mwenyekiti wake na Katibu wake Ndoa zimewashinda???wanaishi na Maawala!!!