Ukweli Usemwe
Senior Member
- Oct 29, 2013
- 168
- 77
Duh, ndio yamekuwa haya tena. Mlikuwa hamjatuambia kwamba Mbowe wameachana na Lilian. Ni vizuri mmeweka wazi jambo hili, tunashukuru.Tunazidi kumjua Rais wetu mtarajiwa Hon Freeman Aikael Mbowe. Lakini mkuu mngejipanga vizuri kwa sababu kwenye Mkutano Mkuu wa Chama mwaka 2010 wakati wakumtambulisha Dk Slaa kama mgombea Lilian alitambulishwa kama mke wa Mhe Mbowe. Sasa hapa ilikuwaje? Na tangu lini tena talaka ikawa siri tena kwa kiongozi mzito wa aina ya Mbowe? Kamanda jipange upya, hapa bado. Mwambie akupe majibu ya haya maswali halafu njoo tena tuendelee kumkida nyani gladi!