Ninachokijua Kuhusu Maisha Binafsi Ya Freeman Mbowe.

Ninachokijua Kuhusu Maisha Binafsi Ya Freeman Mbowe.

Duh, ndio yamekuwa haya tena. Mlikuwa hamjatuambia kwamba Mbowe wameachana na Lilian. Ni vizuri mmeweka wazi jambo hili, tunashukuru.Tunazidi kumjua Rais wetu mtarajiwa Hon Freeman Aikael Mbowe. Lakini mkuu mngejipanga vizuri kwa sababu kwenye Mkutano Mkuu wa Chama mwaka 2010 wakati wakumtambulisha Dk Slaa kama mgombea Lilian alitambulishwa kama mke wa Mhe Mbowe. Sasa hapa ilikuwaje? Na tangu lini tena talaka ikawa siri tena kwa kiongozi mzito wa aina ya Mbowe? Kamanda jipange upya, hapa bado. Mwambie akupe majibu ya haya maswali halafu njoo tena tuendelee kumkida nyani gladi!
 
Hakuna mtu dhaifu kwenye 'Mambo ya mwili'kama Zitto Cyber s.e.x. kwake ni kawaida alisharekodiwa sana tu...bora afunge mdomo tu.

"Zitto anakujaje kaka hapa !!!!"au we wakanda ileeee ya kina Shirima???
 
Duh, ndio yamekuwa haya tena. Mlikuwa hamjatuambia kwamba Mbowe wameachana na Lilian. Ni vizuri mmeweka wazi jambo hili, tunashukuru.Tunazidi kumjua Rais wetu mtarajiwa Hon Freeman Aikael Mbowe. Lakini mkuu mngejipanga vizuri kwa sababu kwenye Mkutano Mkuu wa Chama mwaka 2010 wakati wakumtambulisha Dk Slaa kama mgombea Lilian alitambulishwa kama mke wa Mhe Mbowe. Sasa hapa ilikuwaje? Na tangu lini tena talaka ikawa siri tena kwa kiongozi mzito wa aina ya Mbowe? Kamanda jipange upya, hapa bado. Mwambie akupe majibu ya haya maswali halafu njoo tena tuendelee kumkida nyani gladi!

mbowe hawez kuongoza nch bora dr slaa!
 
Labda kama.umeamua kutueleza kuwa watoto wake hawapo nchini kwa hiyo wenye watoto wajue kiongozi wao maisha yake hayapo hapa maana nyumba Dubai watoto nje ya nchi! !!!!????
 
Kila post inabuma. CHADEMA tulizoea kushangiliwa humu JF, lakini tunazodolewa kwa kila jambo. Ukizoea kushangiliwa halafu ghafla ukawa unazomewa unaweza ukafa kwa pressure. Tumaini Make rudi kwa Majira hii ajira itabuma si muda mrefu, imeshakuwa ngumu sana.
 
Kwahiyo JOYCE MUKYA alipata ubunge wa viti maalum kupitia Mbowe? Kama Rose Kamili alivyopata kiti maalum kupitia Dr.Slaa, au Christina Lissu kupitia Tundu Lissu na Mtoto na Mkwe wa Ndesamburo kupitia baba yao. Kweli CHADEMA mnajuana haswa!

Mwenyekiti wako huyajui yake nini au unataka tuweke uozo wake hapa? Au nape aliyoyafanya ni mazuri? Amesahau hata chupi alikua ananunuliwa na wakwe wa zamani leo amewatenda nini?
 
umelipwa shilingi ngapi?

kWANI WEWE UNAFIKIRIAJE, HIYO KAZI ALIYOIFANYA INAHITAJI MALIPO, SI AMETIMIZA WAJIBU WAKE WA KUTUELEZA ANALOLIJUA, KAMA PARTNER WETU KWENYE jf, KUNA WENGI WETU HAPA JF HATUNA LA BUSARA BALI TUNAJUA KUTUSI NA KUWAKEBEHI WENZETU. NDUGU KABWENA TUNAKUSHUKURU KWA MAELEZO
 
Hayo ni maisha binafsi sana ya Mhe. Mbowe ambayo hayana uhusiano na maisha yake ya kisiasa! Kumbuka Mbowe sio Askofu au Nabii ili ahukumiwe kwa kufuata misahafu ya kidini! Kiongozi yeyete wa siasa asiye na hatia ya aina hiyo ya ndoa na awe wa kwanza kumpiga Freeman jiwe! Ni kwa sababu hatuiyasemi tu, lakini............!
 
mbowe hawez kuongoza nch bora dr slaa!

Wote hawa hawana mpango wa kuongoza nchi. Wamekubaliana wamuunge mkono Lowasa CCM au wakimtema atagombea kupitia CHADEMA. By the way Slaa mwakani atakuwa na miaka 67 nani anataka kuchagua wazee katika nchi ambapo asilimia 65 ya watu wapo chini ya miaka 30?
 
Ni aibu sana kwa viongozi wanaojipambanua kuwa wanataka wapewe nchi, lakini uongozi ngazi ya familia wamefeli.

Muulize mwenyekiti wako usiku upanga anafata nini? Au huko ndio kuiweza familia? Msisahau ccm kuna uozo usioelezeka tukija tu kwa wakuu wa wilaya na mikoa waliopewa kwa fadhila za walaji ni wengi na inajulikana
 
Kwahiyo JOYCE MUKYA alipata ubunge wa viti maalum kupitia Mbowe? Kama Rose Kamili alivyopata kiti maalum kupitia Dr.Slaa, au Christina Lissu kupitia Tundu Lissu na Mtoto na Mkwe wa Ndesamburo kupitia baba yao. Kweli CHADEMA mnajuana haswa!

CHADEMA ni janga la TAIFA
 
Muulize mwenyekiti wako usiku upanga anafata nini? Au huko ndio kuiweza familia? Msisahau ccm kuna uozo usioelezeka tukija tu kwa wakuu wa wilaya na mikoa waliopewa kwa fadhila za walaji ni wengi na inajulikana
Ifungulie thread yake tutakuja kuchangia huko. Ila hapa anazungumziwa mwenyekiti wa CHADEMA.
 
Kwahiyo JOYCE MUKYA alipata ubunge wa viti maalum kupitia Mbowe? Kama Rose Kamili alivyopata kiti maalum kupitia Dr.Slaa, au Christina Lissu kupitia Tundu Lissu na Mtoto na Mkwe wa Ndesamburo kupitia baba yao. Kweli CHADEMA mnajuana haswa!

Mkuu Joyce Mukya Ni Kamanda Mpambanaji Wa Siku Nyingi Ndani Ya Chadema, Kabla Ya Ununge Wa Viti Maalum Alikuwa Na Bado Ni Mwenyekiti Wa Wanawake, Chadema Mkoa Wa Arusha, Kuhusu Rose Kamili Ni Mpambanaji Pia, Alipambana Na Mary Nagu Kwenye Ubunge Na Kushindwa Kwa Kura Chache Huku Akisaidia Kupatikana Kwa Madiwani 17 Wilaya Ya Hanang
 
Back
Top Bottom