Ninachokijua kuhusu Miradi ya DMDP na Ujenzi wa Miundombinu Mkoani Dar

Ninachokijua kuhusu Miradi ya DMDP na Ujenzi wa Miundombinu Mkoani Dar

Hata hivyo kwa ujumla wilaya ya UBUNGO imepunjwa. Wangejumusha angalau sehemu ya barabara Ya MBEZI hadi MPIGI MAGOE ili baadae iunganishwe na ya Bagamoyo.
Tuliambiwa barabara ya Dk. William Shija inayotoka pale Kibamba kwenda Kibwegere kwenye chuo cha VETA ingejengwa lami mwezi wa 7 mwaka 2024, lakini mpaka sasa kupo kimya, haijulikani kama mkandarasi alipatikana au la, barabara ni vumbi na yenye mashimo ya kufa mtu.

Ujenzi wa Chuo cha VETA wilaya ya Ubungo umesimama kwa zaidi ya mwaka sasa, mbunge amekaa kimya, diwani amekaa kimya, maendeleo yanalala.
 
Back
Top Bottom