Ninachokiona kwa Israel ni kuchanganyikiwa na vita!

Myahudi ni hatari tu kwenye stori za vijiweni nje ya hapo ni sawa na yale matoto mabonge nyanya yenye baba zao matajiri hua ni machokozi na maonevu sana kwa wenzao ila ukisema leo sitaki kujua baba yake ni nani unalitandika vizuri tu.
 
Sijui ni kwa nini! Ila watu wa aina yako,mnapokuwa na mimba changa huwa mnavurugwa sana.

Yaani usimzanie baba yako aliyekuzaa kama ana akili, au la! Uje umzanie mtu usiyemfahamu! Wewe ni Jinga kabisa.
{}
 
Nakupa hongera walau unaelewa kinacho endelea.

Siyo wale punguani wanao kimbilia kusifia mauaji ya hovyo hovyo eti ni taifa la Mungu, sijui mataifa mengine huwa ni ya shetani au nani.

Mpaka sasa aslimia zaidi ya 75 % waliouwawa ni raia wa kawaida na siyo HAMAS.

Kibaya zaidi ni kwamba waliouwawa robo tatu yao ni wanawake na watoto.

Mareakani juzi hapa amekiri kuwa Israel imeua HAMAS kwa asilimia isiyo zidi 25 %, kwa maana hiyo 75 % bado wako active.

Lengo la muyahudi sasivi ni kulipua makazi ili tu wapalestina wakate tamaa wakose pakuishi waamue kuhama wenyewe kwa hiari ili mayahudi yachukue GAZA yote
 
Israel piga haya matahira mavaa kobasi akili ziwakae sawa
 
Israel ni kama kuku aliekatwa kichwa anaruka hovyo hovyo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…