Neno "Sanda" kwenye jezi ya Simba, nina uhakika halijakaa pale kwa bahati mbaya. Simba kuna viongozi wapumbavu sijawahi kuona. Na ndio maana sioni Simba ikienda mbali kwa hawa viongozi wasio na aibu kuharibu brand ya Simba kwa kuwavalisha mashabiki "Sanda"
Ninaamini kuwa viongozi wa Yanga wana tumia akili sana kuua brand ya Simba na watafanikiwa iwapo viongozi ndio hawa.
Huyu sandaland siamini kama ni shabiki wa Simba na anaweza kulipwa ili afanye huu ujinga. Hii yanga ina mafia na ninachoona hapa ni utangulizi tu.
Tayari tumeshasikia siku ya tarehe 4 Agosti wanaenda kufagia uwanja wafanye jambo lao. Kuna namna hii Simba inazidiwa sana akili na mikakati ndani na nje ya uwanja.
Hata suala la Kibu mwisho mtanielewa tu kuwa hawa jamaa wametuzidi sana mbinu.
Kibu amebadilishwa na haaminiki tena.