Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
kwahiyo mtengenezaji wa jezi angeitwa Kumamoto kwenye jezi akaandika 'k#uma' wewe ungevaa ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio umeamka nini.Si kwa hili wenge la usingizi.Neno "Sanda" kwenye jezi ya Simba, nina uhakika halijakaa pale kwa bahati mbaya. Simba kuna viongozi wapumbavu sijawahi kuona. Na ndio maana sioni Simba ikienda mbali kwa hawa viongozi wasio na aibu kuharibu brand ya Simba kwa kuwavalisha mashabiki "Sanda"
Ninaamini kuwa viongozi wa Yanga wana tumia akili sana kuua brand ya Simba na watafanikiwa iwapo viongozi ndio hawa.
Huyu sandaland siamini kama ni shabiki wa Simba na anaweza kulipwa ili afanye huu ujinga. Hii yanga ina mafia na ninachoona hapa ni utangulizi tu.
Tayari tumeshasikia siku ya tarehe 4 Agosti wanaenda kufagia uwanja wafanye jambo lao. Kuna namna hii Simba inazidiwa sana akili na mikakati ndani na nje ya uwanja.
Hata suala la Kibu mwisho mtanielewa tu kuwa hawa jamaa wametuzidi sana mbinu.
Kibu amebadilishwa na haaminiki tena.
Kinachoisumbua simba ni uhosefu wa viongozi wenye msimamo viongozi wamekaa kibiashara zao kuliko maslahi ya timuNeno "Sanda" kwenye jezi ya Simba, nina uhakika halijakaa pale kwa bahati mbaya. Simba kuna viongozi wapumbavu sijawahi kuona. Na ndio maana sioni Simba ikienda mbali kwa hawa viongozi wasio na aibu kuharibu brand ya Simba kwa kuwavalisha mashabiki "Sanda"
Ninaamini kuwa viongozi wa Yanga wana tumia akili sana kuua brand ya Simba na watafanikiwa iwapo viongozi ndio hawa.
Huyu sandaland siamini kama ni shabiki wa Simba na anaweza kulipwa ili afanye huu ujinga. Hii yanga ina mafia na ninachoona hapa ni utangulizi tu.
Tayari tumeshasikia siku ya tarehe 4 Agosti wanaenda kufagia uwanja wafanye jambo lao. Kuna namna hii Simba inazidiwa sana akili na mikakati ndani na nje ya uwanja.
Hata suala la Kibu mwisho mtanielewa tu kuwa hawa jamaa wametuzidi sana mbinu.
Kibu amebadilishwa na haaminiki tena.
Yaani ovyo sana.kifuatacho
Yanga wana project ya kuiangusha Simba kabisa na wanatumia pesa nyingi sana kufanikisha hilo.Kuna viongozi wetu wanajua hili huenda wanatumikaNa kwanini unahisi ubovu wa viongozi wenu unauhusisha moja kwa moja na yanga
Acha kashfa we jamaa. Nimecheka sana. Aiseeeee uliwaza nini sijui mkuu.Kama mliweza kuvaa jezi ina mkono wa kanjibai kwenye kalio sidhani kama mtashindwa kuvaa sanda
Mie ile jezi sikuielewaga kabisaAcha kashfa we jamaa. Nimecheka sana. Aiseeeee uliwaza nini sijui mkuu.
Bora umekubali yanga ni noma kwa mdomo wakoNeno "Sanda" kwenye jezi ya Simba, nina uhakika halijakaa pale kwa bahati mbaya. Simba kuna viongozi wapumbavu sijawahi kuona. Na ndio maana sioni Simba ikienda mbali kwa hawa viongozi wasio na aibu kuharibu brand ya Simba kwa kuwavalisha mashabiki "Sanda"
Ninaamini kuwa viongozi wa Yanga wana tumia akili sana kuua brand ya Simba na watafanikiwa iwapo viongozi ndio hawa.
Huyu sandaland siamini kama ni shabiki wa Simba na anaweza kulipwa ili afanye huu ujinga. Hii yanga ina mafia na ninachoona hapa ni utangulizi tu.
Tayari tumeshasikia siku ya tarehe 4 Agosti wanaenda kufagia uwanja wafanye jambo lao. Kuna namna hii Simba inazidiwa sana akili na mikakati ndani na nje ya uwanja.
Hata suala la Kibu mwisho mtanielewa tu kuwa hawa jamaa wametuzidi sana mbinu.
Kibu amebadilishwa na haaminiki tena.
Acha utani mkuu, yaani viongozi hawaisaidii simba kisa neno SANDA?Kwa kweli neno Sanda halijakaa vizuri, Ni vema wahusika wakarekebisha vinginevyo naona wanaenda kupata hasara kubwa sana. Hii inaonyesha baadhi ya viongozi wa simba hawaisaidii timu.
Ushabiki mwingine wa kipumbavu Sana " SANDA" mbona ni jina la kawaida la kibamtu na watu wengi wanatumia jina hilo?