Ninachokiona kwenye jezi za Simba kama ni kweli, Yanga wapo level nyingine kabisa

Ninachokiona kwenye jezi za Simba kama ni kweli, Yanga wapo level nyingine kabisa

Wewe ni chizi ndio maana huoni shida.

Ukikuta bus lina jina mortuary utapanda tu,au nyumba ya kulala wageni imeandikwa kaburi bila shaka utalala humo tu.
Akili hazina ushirikiano na mazingira bila shaka nyie ndio mnaokula kinyesi kuwafurahisha wake zenu
Mkuu, unanitusi kwa sababu ya hizi jezi za Simba tu au kuna mengine? Maana kwenye hili sioni room ya haya matusi yote kwenye hili tu.

Ova
 
Wewe ni chizi ndio maana huoni shida.

Ukikuta bus lina jina mortuary utapanda tu,au nyumba ya kulala wageni imeandikwa kaburi bila shaka utalala humo tu.
Akili hazina ushirikiano na mazingira bila shaka nyie ndio mnaokula kinyesi kuwafurahisha wake zenu
Umefikia hatua ya kutafutiwa mshauri nasaha. Yaani niache kupanda bus kwa sababu lina jina la mochware? Au niache kulala lodge kwa sababu ina jina la kaburi?

Aisee hii nchi kumbe sio mmoja kati ya wanne, nahisi ni zaidi. Nilidhani ni utopolo tu wanakataa wadhamini wenye nembo zenye wekundu na weupe, kumbe hata Simba kuna machizi yana mawazo kama hayo. Kwamba nikilala lodge inayoitwa kaburi nitakuwa nimelala kaburini? 😂😂😂
 
Kiswahili ni lugha ya mkopo, neno gumu kwako ni laini kwa wenzako.
A1D5DcuV7CL._CLa|2140,2000|71EM3HF7r1L.png|0,0,2140,2000+0.0,0.0,2140.0,2000.0_AC_UY1000_.jpg
ce-joventut-l-hospitalet-women-s-home-jersey-sanda.jpg
 
Na kwanini unahisi ubovu wa viongozi wenu unauhusisha moja kwa moja na yanga
 
Acha ushamba wewe kwamba hilo neno sanda lina shida gani kuwepo pale🤔 hujioni kama wewe ndio mpumbavu tuu 🤔 hauja lazimishwa kununua wala kuvaa subiria vijora vyenu vya magoma fc
Tueleze wewe SANDA ni Nani ndani ya Simba?
Ni mdhamini - hapana
Ni Mfadhili - Hapana
Ni mwekezaji - Hapana
Jibu NI KIFUPI CHA SANDALAND.
Tangu lini brand name inafupiahwa?
 
Tueleze wewe SANDA ni Nani ndani ya Simba?
Ni mdhamini - hapana
Ni Mfadhili - Hapana
Ni mwekezaji - Hapana
Jibu NI KIFUPI CHA SANDALAND.
Tangu lini brand name inafupiahwa?
Mimi sitaki kujua ni kifupi au kirefu Cha nini jezi ni kwa ajili yetu wana Simba nyie utopolokwinyo mnaumia nini 🤔🤔 ambacho hamjui kadri mnavyo zidi kuhangaika na hilo neno ndivyo jezi inazidi kua maarufu
 
Back
Top Bottom