Ninachokiona kwenye jezi za Simba kama ni kweli, Yanga wapo level nyingine kabisa

Acha ushamba wewe kwamba hilo neno sanda lina shida gani kuwepo paleπŸ€” hujioni kama wewe ndio mpumbavu tuu πŸ€” hauja lazimishwa kununua wala kuvaa subiria vijora vyenu vya magoma fc
SANDA πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Sanda zenu ndizo zitawazika kwenye nafasi ya Tatu au ya nne kwenye ligi, sandaland kaamua kufungua code mapema kabisaaaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Mdakuzi Vipi nikununulie hii jezi mpya? Nimebaki njia panda nashindwa kukununulia sanda b...
Hii ni kawaida kwa kila jezi mpya ya Simba ikitoka, naona Yanga ndiyo wanateswa nazo sana. Mimi sioni shida kwenye hili.

Sanda sio jina, ila ni vazi. Kwamba sio kila kilichoandikwa sanda ni sanda, ila sanda yenyewe kama vazi ndiyo itabaki kuwa sanda.

Sanda iko kama brand name, kama ilivyo Fila au nembo ya Kappa yenye picha ya watu wasio na nguo, lakini haina shida.

Ova
 
Nilijua tu, wewe tena? Ila utanisamehe, siwezi kukununulia sanda b...
Ofa umeikosa.
 
Wewe ni chizi ndio maana huoni shida.

Ukikuta bus lina jina mortuary utapanda tu,au nyumba ya kulala wageni imeandikwa kaburi bila shaka utalala humo tu.
Akili hazina ushirikiano na mazingira bila shaka nyie ndio mnaokula kinyesi kuwafurahisha wake zenu
 
Yaani nyie binadamu. Mbona huwa mnavaa jezi zimeandikwa FILA. Leo "sanda" mnashangaa!
 
Uzi bila picha sawa na bure kabisaa
 
FILA ina shida gani? Au una matatizo ya kuchanganya L na R??
 
Jezi Iko poa lakini kazingua kwenye ilo neno SANDA, ubunifu inatakiwa uangalie na aina ya maneno unayoyaweka kwenye product yako sio ilimradi umeamka na kupachika tu bila kuangalia mazingira na utamaduni wa walaji wako, ni Bora angekamilisha neno sandaland ikajulikana moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…