Ninachokiona kwenye jezi za Simba kama ni kweli, Yanga wapo level nyingine kabisa

kwahiyo mtengenezaji wa jezi angeitwa Kumamoto kwenye jezi akaandika 'k#uma' wewe ungevaa ?
 
Ndio umeamka nini.Si kwa hili wenge la usingizi.
 
Kinachoisumbua simba ni uhosefu wa viongozi wenye msimamo viongozi wamekaa kibiashara zao kuliko maslahi ya timu
 
Na kwanini unahisi ubovu wa viongozi wenu unauhusisha moja kwa moja na yanga
Yanga wana project ya kuiangusha Simba kabisa na wanatumia pesa nyingi sana kufanikisha hilo.Kuna viongozi wetu wanajua hili huenda wanatumika
 
Bora umekubali yanga ni noma kwa mdomo wako
 
Hahahahhahahaaaaaaaaaaaaaa huwa nakumbuka msemo wa Mzee mmoja alikuwa anapenda kusema, na nukuu :- Jambo kama limeshindikana ni limeshindikana tu hata kama ufanyeje.sasa ndo mambo yenu makolo yashashindikana maana changamoto zimewaandama sana mwishoe mtaletewa na zilizoandikwa Kaburi.
 
Ushabiki mwingine wa kipumbavu Sana " SANDA" mbona ni jina la kawaida la kibamtu na watu wengi wanatumia jina hilo?
 
Kwa kweli neno Sanda halijakaa vizuri, Ni vema wahusika wakarekebisha vinginevyo naona wanaenda kupata hasara kubwa sana. Hii inaonyesha baadhi ya viongozi wa simba hawaisaidii timu.
Acha utani mkuu, yaani viongozi hawaisaidii simba kisa neno SANDA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…