Uchaguzi 2020 Ninachokiona Mbeya Mjini 2020

Tulia hapiti nimeona ka-umati kake kanasikitisha.
Ushindi sio umati bali ni mipango,wapiga kura wa Cdm wanafayiwa mipango mwisho wa siku wanampigia kura dr.tulia.
Mjini mipango kaka.
kuna miundo mbinu na mbinu za miundo.
haya mambo mawili yakitimia haponi mtu.
 
Si ndio bao la mkono ambalo bila hilo ccm kamwe hawapati zaidi ya wabunge 40.
 
Waandae kisaikolojia kubomolewa nyumba, sioni Magufuli akiweka rami labda Rais ajaye huko 2050 mbele huko
 
Si ndio bao la mkono ambalo bila hilo ccm kamwe hawapati zaidi ya wabunge 40.
Hapana sio bao la mkono.ni kuwashawishi wapigakura wakupigie wewe.
pia kuwashawishi wasio na nia walampango wa kupiga kura wapige.
 
Bangi mbaya Sana?
 
Ndio maana wakamuweka RC wa dizaini ya Kingwendu ili wapore ushindi
 
Sugu atasaini wcb ili aanze maisha mapya 2021
Unamfahamu ama unamsikia? Sugu ambaye kaanza muziki kab;la wanamuziki wa WCB hawajazaliwa aje asaini WCB? Unafahamu label yake ina thamani gani?
 
Naibu spika yupo vizuri naamini atashinda
Labda kwa kutumia mabomu na maji ya kuwasha. Lkn kwa kura halali sio rahisi sana. Lile jimbo halijawahi kuongozwwa na mwanamke tangu kuanzishwa kwake na kwa miaka hii michache haitatokea!
 
Unamfahamu ama unamsikia? Sugu ambaye kaanza muziki kab;la wanamuziki wa WCB hawajazaliwa aje asaini WCB? Unafahamu label yake ina thamani gani?
Muziki ni biashara sio kuanza muziki kabla.mafanikio ya wcb kama lebel na mafanikio ya hiyo lebel ya sugu ni tofauti,wcb wapo juu kuliko sugu.
Embu nambie hiyo lebel ya sugu ambayo haina umarufu kama wcb ina thamani gani nijue.na ishafanya kazi zipi za ndani na nje ya nchi?
 
Unajidanganya kiongozi, utajiumiza bure Sugu atafute kazi ingine
Labda kwa kutumia mabomu na maji ya kuwasha. Lkn kwa kura halali sio rahisi sana. Lile jimbo halijawahi kuongozwwa na mwanamke tangu kuanzishwa kwake na kwa miaka hii michache haitatokea!
 
Mbeya kunani?? Mbona "vurugu" zimeanza mapema...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…