Bora abaki yule yule mwana Hip hop kuliko huyu CCM wamtakaye.
1. CCM itaamua nini kifanyike Mbeya Mjini bila msemaji wao kwani tayari atakuwa spika na yupo chini ya nyayo za mkuu solotep mdomoni.
2. Atakuwa spika kwa uchochoro wa Mwanamke anaweza tazama mh. samia ameweza tazama ummy ameweza. Vijana wa Mbeya mjini akiondoka Raisi wenu kama mnavyomwita hivi mnajua kitachofuata? Wakati wenu wakukaa kimyaaa ndio utakuwa umefika yaani kimya ninyi hadi msemaji wenu bungeni.
3. Tuombe Mungu Mjomba mwenyewe kwa hiyari yake aamue
ni jambo gani jipya la kimaendeleo ataamua alilete ndani ya Mbeya Mjini.
4. Rais Magufuli nakukumbusha barabara ya kutoka njia panda KK Rungwe TUKUYU kwenda ILEJE ni barabara KUU KWA SASA Kwani inaunganisha MKOA WA MBEYA NA SONGWE ila bado ni ya vumbi.
#Tafadhari ikumbuke naamini unatambua mchango wa masoko ya gurio la LUGOMBO NA IKUTI katika kuliingizia pato Taifa.
Asanteni.