Snapdragon 8
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 1,046
- 3,781
mkuu sa unashaulijeView attachment 2806993
Dogo miaka 22 na umeshajiona kuwa una mipango ya kuoa!!?
Naumwa nini mkuuwe unaumwa siyo bure
Achana na pisi zile kabisa mdogo wangu. Zitakuua. Tafuta msichana wa kawaida ambae sio mwanafunzi asie na mambo mengi. Pia usionyeshe una uhitaji sana, yani usiwe too desparate.Naombeni ushauri wakuu.
Leo pia nimeahirisha jaribio langu la kutaka kuingia kwenye mahusiano, hii ikiwa ni mara yangu ya nne sasa, na hiki ndio hupelekea mimi kukumbana na hali hii.
👉Msichana nayempenda na kudhamiria kumtongoza nakuja kugundua kuwa kuna mtu mwingne bora zaidi yangu (status), yaani ana pesa na umri kunizidi jambo linalopelekea mimi kupuuzwa hata baada ya kumtongoza hivyo kuishia kunyong'onyea tu.
Wakuu kama pesa ni case mbona kuna washikaji zangu hawana pesa na wako kwenye mahusiano? What went wrong with me?
Sawa nitafute hela hadi lini? Hata nikizipata bado kuna watu watakuwa wananizidi tu, labda niwe tajiri wa kwanza duniani.
Hapa nawaza labda mimi niishi maisha ya kutowaza mahusiano hadi pale nitakapooa, tena niende vijijini huko ndanindani ndio nioe.
Au wakuu mnanishaurije, ushauri wenu ndiyo hatima ya mimi na mapenzi (age 22).
Asanteni.
Nitaishi na ushauri wako mkuuAchana na pisi zile kabisa mdogo wangu. Zitakuua. Tafuta msichana wa kawaida ambae sio mwanafunzi asie na mambo mengi. Pia usionyeshe una uhitaji sana, yani usiwe too desparate.
Tutamuaga shauri zakeUmri huo wenzio wasio na pesa wanapiga nyeto
We unayataka mapenzi ya nini? Utakufa shaurizo
😂😂😂WiiUmri huo wenzio wasio na pesa wanapiga nyeto
We unayataka mapenzi ya nini? Utakufa shaurizo
Hahahahahah hajiamini wakati hana fuba.Hujiamini..
Nguvu ya kibunda sio mchezoHahahahahah hajiamini wakati hana fuba.
Hio equation ngumu sana yani maana nikiwaza kile kiburi nachokuwaga nacho kuanzia tarehe 30 huwa sio cha kawaida 🤣🤣🤣!
Pesa ni silaha zaidi ya bunduki wanazotembea nazo askari. Kimsingi dogo atafte mama lishe tu aishi nae maana ndio ambao hawanaga usumbufu.
Uzi ulitakiwa kufungiwa hapa. The boy should stay in his laneTafuta wanawake wa level yako ...
Nakupa siri...Naombeni ushauri wakuu.
Leo pia nimeahirisha jaribio langu la kutaka kuingia kwenye mahusiano, hii ikiwa ni mara yangu ya nne sasa, na hiki ndio hupelekea mimi kukumbana na hali hii.
👉Msichana nayempenda na kudhamiria kumtongoza nakuja kugundua kuwa kuna mtu mwingne bora zaidi yangu (status), yaani ana pesa na umri kunizidi jambo linalopelekea mimi kupuuzwa hata baada ya kumtongoza hivyo kuishia kunyong'onyea tu.
Wakuu kama pesa ni case mbona kuna washikaji zangu hawana pesa na wako kwenye mahusiano? What went wrong with me?
Sawa nitafute hela hadi lini? Hata nikizipata bado kuna watu watakuwa wananizidi tu, labda niwe tajiri wa kwanza duniani.
Hapa nawaza labda mimi niishi maisha ya kutowaza mahusiano hadi pale nitakapooa, tena niende vijijini huko ndanindani ndio nioe.
Au wakuu mnanishaurije, ushauri wenu ndiyo hatima ya mimi na mapenzi (age 22).
Asanteni.
Kanywe uji ukue kwanza, akili yako haijakomaa, au tongoza form four leavers ndo saizi yako, mnafanana akili.Naombeni ushauri wakuu.