Ninachokutana nacho kila nikijaribu kuingia kwenye mahusiano kinanifanya nahofia huenda nikabaki single hadi muda wa ndoa

😆 😆 😆 😆
 
Acha uoga na jiamini
 
Mkuu una umri mzuri bado na una nafasi ya kujitafuta na kutafuta mchumba bado saana. Jitafute zaido mapenzi usiyaweke seriously yatakuja yenyewe muda wowote bila ku force
 

Sorry to tell u this, umri huo ulionao ni ngum au ni nadra kupata mschana wa kuwa nae serious au mahusiano stable kwasababu mschana wa umri wako unayemtaka kwa sasa ndio yuko kwenye peak! Wanaume Wengi wanamtaka tena probably ni high value men lakini thamani yake inaenda ikishuka Na wewe bado unajitafuta hivyo bado ni ngumu kuingia kwenye ligi cha msingi jitafute kwanza na ikiwezekana usiwe serious sana na mahusiano kwa sasa pambana hadi na wewe uwe a high value man kama hao wengine, ukifika 30 na kuendelea ukiwa umefanikiwa hao waschana walio kwenye peak watakufata wenyewe & utakuwa options nyingi tu kwasasahv wala usiumie na pia usipoteze muda wako Jitafute kwanza!!
 
Asante sana mkuu,
 
Huo umri ulio nao siyo wa kuyachukulia kabisa mapenzi kwa uzito. Utakufa kabla ya wa wakati wako kufika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…