Ninachoshindwa kuelewa ni kwamba Tanzania wanataka madereva wa Tanzania wasipimwe wanapoingia Kenya au hata wakiwa positive waingie?

Hao wakenya wanaona wivu sisi kuendelea na shughuli zetu hivyo wanataka kutuharibia kwa kuwabambikizia madereva wetu magonjwa wasiokuwa nayo na ajabu zaidi madereva raia wa Kenya wakiwa wanatoka Tanzania kwenda Kenya wenyewe hawana corona. Sasa hapo ujiulize ina maana siku hizi corona inabagua utaifa? Wakati watu mpo mazingira sawa?

Hao wakenya misaada wanaipata kutoka kwa wazungu wataijutia. Time will tell.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu kwanza. Mimi naona Tanzania tunatia aibu sasa. Mara Rwanda, mara Uganda, mara Zambia, mara Kenya. Hivi tuna akili gani sisi? KIla jirani tunagombana nae?
Hao wamepumbazwa na wazungu kwa kupewa misaada na mikopo ndo maana kila siku midomo inawarefuka wakitangaza takwimu zisizokuwa na madhara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi bifu na Kenya sasa naona kama ni utoto na nashangaa inafikia hata viongozi wetu wa ngazi ya mkoa wanahemuka na maamuzi bila kufikiria kumaliza mambo kidiplomasia. Hawa viongozi wanadhani wanamfurahisha Magufuli lakini ukweli ni kwamba wanamdhalilsha Magufuli na Tanzania kwa ujumla.

Ona kwamba tumekuwa na migogoro mipakani sio na Kenya tu, bali na Rwanda na Zambia pia. Hiyo ni dalili kwamba sisi ndio wenye tatizo. Ukiona kila siku wewe tu ndio unagombana na jirani zako, tatizo sio jirani, ni wewe!

Kwanza kabisa tuelewe kwamba nchi hizi jirani, japo sisi hatukuweka lockdown, wao waliweka. Sasa hatuwezi kuwalazimisha wasiwe na lockdown kwa Watanzania kwa kuwa sisi huku kwetu hakuna - huko ni kukosa si tu busara bali akili pia. Kwa mfano, Kenya wana lockdown kiasi kwamba hata kusafiri kati ya jimbo na jimbo, mfano, Nairobi na Mombasa, hairuhusiwi isipokuwa kwa vibali maalum.

Sasa sis tunachotaka kwa Wakenya au Rwanda au Zambia ni nini hasa? Tunataka madereva wetu wasipimwe wanapoingia kwenye hizo nchi? Au tunataka madereva wetu hata wakipimwa wakaonwa wana Corona waruhusiwe tu kuingia kwa kuwa kwetu hakuna lockdown?

Ona kwamba madereva wetu wanasema hawaviamini vipimo vya Kenya. Kenya watafanyaje vipimo vya udanganyifu kwa madereva ambao wanapeleka bidhaa kwao? Hiyo ni akili kweli kudhani mtu unaemplekea bidhaa kama chakula nk akukomoe kwa kukufanyia kipimo cha uongo? Tanzania tunataka tuamini vipimo vipi, maana hata vya kwetu tulisema vinasema mapapai yana Corona ni vipimo feki. Kama ni hivyo tupimwe madereva wetu mipakani basi ili wanapopimwa upande wa Kenya tuweze kubisha kisayansi kuwa upande wetu tumewapima wakaonekana negative.

Vitu vingine tusijifanye kuwa wajuaji na kukorofishana na jirani zetu pasipo sababu. Hatuwezi kuwalazimisha wasiwe na restrictions za Corona kwa kuwa sisi hatuna. Kama sisi hatuna restriction basi ni sawa madereva wao kuingia kwetu bila kupimwa, lakini hatuwezi kudai kuwa na madeeva wetu waingie kwao bila kupimwa!

KUmbuka kwamba madereva wa Kenya wakitoka Tanzania wanaporudi kwao wanawekwa quarantine - sasa kama wanafanya hivyo kwa madereva Wakenya, kwa nini tuone sio sawa wakisema madereva wa Tanzania wawekwe quarantine?

Ona pia thread hii:

Tunaweza kuona tuna msimamo imara suala la Corona lakini mwishoni gharama yake inaweza kuwa Tanzania kukosa heshima na kupoteza urafiki na nchi jirani
Synthesizer Hili jambo unatakiwa uwahoji madereva kwa nini wanagoma kwenda hizo nchi na pia usidhani serikali haiko makini kwenye hili.

Binafsi nadili sana na transportation najua madhila wanayopata madereva kwa sasa na kwenye hili serikali inaenda vizuri na update ya madereva.

Hakuna wanaokataa kupimwa ila shida hata ukionekana negative unaenda kwa kunyanyapaliwa na vilevile hawaruhusiwi kufanya chochote kushuka kwenye gari kwenda maliwatoni,kuoga kupata mahitaji ya chakula nk.

Hivi wewe kwa akili yako hilo unaona ni sawa?
Nini maana ya kumpima mtu na kukubali aingie kwako ili umtese?

Hivi huu ugonjwa ulianzia Tanzania? na hapo Rwanda,Zambia na Kenya ndio ulipelekwa na watanzania?

Kama unakumbukumbu fatilia vizuri visa vya mwanzoni vya hizo nchi walipeleka watu gani halafu ndio uone hizi nchi zina maana gani na jirani zao.

Kwa nini Uganda watu hawalalamiki sana, kama nchi hizo nilizotaja hapo japo najua kwa sasa nao wanataka kubadilika ila si kwa kiwango cha hizo nchi tajwa hapo juu.

Kuna vitu wakati mwingine tujitahidi kuufatilia ukweli tukaujua kuliko kutoa tu lawama moja kwa moja kwa serikali.

Balozi wa Tanzania upande wa Zambia najua anapata malalamiko sana kwa siku kama mbili hizi najua kapokea kesi nyingi za watanzania kuteseka.

Hivi unamoima mtu hapo mpakani kwa nini usimrudishe kwao halafu umpeleke zaidi ya kilomita 180 na kisha kwenda kumuweka bila matibabu yoyote na huku chakula pia ni cha tabu?.

Kwenye hili jaribuni kuweka siasa na uvyama pembeni wanaoumia ni madereva wetu watanzania wenzetu na walipa kodi na wazalisha uchumi wetu tusibeze hatua zinazofanywa serikali iko macho kwenye hili.
 
Tanzania wanalalamika wao na babu yao wachattle asiyejuwa kingereza ambaye kaongoza kaya miaka mitano bila kupewa pesa na mabeberu sasa ameona ajifiche tu
 
Kwaajili yako mtu timamu huoni tatizo??

Dereva Mtanzania anasbr vipimo kwa siku 5-7
Wakenya wanaruhusiwa kuingia Tanzania hatawakiwa wamegundulika wana Corona?
 
Kwanini madereva wa Kenya waingie Tanzania kama kuna corona halafu wapeleke kwao ?hiyo ni siri za kiuchumi wao wanajificha nyuma ya corona

MONEY STOP NONSENSE
Wanaingia kwa ajili ya biashara. Nasikia wakirudi kwao wanapimwa kisha wanakaa caranteen siku kumi na nne halafu wanapimwa tena. By the way hawajavunja utaratibu wetu tuliojiwekea wa kuwa huru na kutotawaliwa na corona. Ss kwani tuna shida na watu wakitoka nchi nyingine kuja kwetu?
 
Kwaajili yako mtu timamu huoni tatizo??

Dereva Mtanzania anasbr vipimo kwa siku 5-7
Wakenya wanaruhusiwa kuingia Tanzania hatawakiwa wamegundulika wana Corona?
Ss tatizo lipo wapi hapo? Ss utaratibu wetu si unajulikana kuwa mipaka ipo wazi? Wao utaratibu wao mipaka imefungwa isipokuwa kwa mizigo na madereva wanatakiwa kupimwa kwanza. Mm sioni sababu ya vita ya maneno hapo. Labda nieleweshwe.
 
Magufuli Followers are blinders they don't understand anything,, about cov19 since the beginning ...of this storm in our country.
Wakenya mnajifanya wajuaji sana nendeni mkawapatanishe uhuru na ruto kwanza
 
Kwaajili yako mtu timamu huoni tatizo??

Dereva Mtanzania anasbr vipimo kwa siku 5-7
Wakenya wanaruhusiwa kuingia Tanzania hatawakiwa wamegundulika wana Corona?
Huo ndio utaratibu wao, na si kwa Tanzania tu. Na suala la kusubiri vipimo kwa siku 5-7 ni kawaida, kwa kuwa Kenya wana utaratibu kwamba mtu yeyote anaeingia kutoka nchi yenye Corona, atapimwa, kisha atakuwa quarantined for 14 days, kisha atapimwa tena mara ya pili. Kumbuka huo ni utaratibu kwa watu wote, hata Wakenya wenyewe ikiwa wanataka kurudi Kenya kutoka nchi yenye Corona.

Sasa Tanzania inacholalamikia hapa ni kitu gani? Wao wana utaratibu wao, na sisi tuna wa kwetu.
 
Synthesizer Hili jambo unatakiwa uwahoji madereva kwa nini wanagoma kwenda hizo nchi na pia usidhani serikali haiko makini kwenye hili.

Binafsi nadili sana na transportation najua madhila wanayopata madereva kwa sasa na kwenye hili serikali inaenda vizuri na update ya madereva.

Hakuna wanaokataa kupimwa ila shida hata ukionekana negative unaenda kwa kunyanyapaliwa na vilevile hawaruhusiwi kufanya chochote kushuka kwenye gari kwenda maliwatoni,kuoga kupata mahitaji ya chakula nk.

Hivi wewe kwa akili yako hilo unaona ni sawa?
Nini maana ya kumpima mtu na kukubali aingie kwako ili umtese?

Hivi huu ugonjwa ulianzia Tanzania? na hapo Rwanda,Zambia na Kenya ndio ulipelekwa na watanzania?

Kama unakumbukumbu fatilia vizuri visa vya mwanzoni vya hizo nchi walipeleka watu gani halafu ndio uone hizi nchi zina maana gani na jirani zao.

Kwa nini Uganda watu hawalalamiki sana, kama nchi hizo nilizotaja hapo japo najua kwa sasa nao wanataka kubadilika ila si kwa kiwango cha hizo nchi tajwa hapo juu.

Kuna vitu wakati mwingine tujitahidi kuufatilia ukweli tukaujua kuliko kutoa tu lawama moja kwa moja kwa serikali.

Balozi wa Tanzania upande wa Zambia najua anapata malalamiko sana kwa siku kama mbili hizi najua kapokea kesi nyingi za watanzania kuteseka.

Hivi unamoima mtu hapo mpakani kwa nini usimrudishe kwao halafu umpeleke zaidi ya kilomita 180 na kisha kwenda kumuweka bila matibabu yoyote na huku chakula pia ni cha tabu?.

Kwenye hili jaribuni kuweka siasa na uvyama pembeni wanaoumia ni madereva wetu watanzania wenzetu na walipa kodi na wazalisha uchumi wetu tusibeze hatua zinazofanywa serikali iko macho kwenye hili.
Mkuu si rahisi kuamini unachosema, kwa kuwa sioni kwa nini nchi zote hizi ziwanyanyase Tanzania tu - Rwanda, Kenya, Zambia, Uganda? Mie nina ufahamu sana na hili la Kenya ambapo mambo Tanzania wanayolalamikia hata Wakenya wenyewe wanafanyiwa. Na ni kweli kuwa hata Wakenya wanalalamika. Mkenya akitoka nje, akirudi lazima apimwe na kuwekwa karantini siku 14. Sasa Tanzania wakifanyiwa hivi wanalalamika.

Hili la kusema wamepimwa wakaonekana negative nadhani walichosema ni kwamba eidha ukae karantine siku 14, au uingie kwa kuwa monitored. Sasa huo ni uchaguzi. Je dereva akipimwa akawa negative, atakubali kusubiri siku 14 za karantini, au kuingia kwa masharti?

Sasa wewe unakubali kuingia kwa masharti badala ya kukaa karantine siku 14, halafu wanapotekeleza masharti unalalamika. Akili gani hiyo?
 
Kwanini waweke lockdown?,hii Ni dharau kwa umoja wa East Africa,ilitakiwa tuwe na msimamo mmoja tu,,msimamo wa Tanzania ndio sahihi hakuna lockdown,full stop,,kwahiyo madereva wetu wasipimwe na mtu,kwanza vipimo Ni fake,😔😔
Unaona basi, eti mnaenda na mawazo kama haya kujadiliana na Wakenya, Wazambia, Rwanda nk. Wanawaona wapumbavu tu!
 
Tatizo nadhani linakuja hapa.

Nafunga mpaka upande mmoja, bila kuingia mezani na jirani ili kujua ni hatua gani tuchukue kwa pamoja kuweka mambo sawa.

Unaweza kuwa upo sawa kulinda wananchi wako, ila jirani nae anaweza kuja hoja yake.

Kwa hivyo ilipaswa wawasiliane kwanza wahusika.

Ukiacha kila mtu afanye kivyake ndio hii mikorogano tunayoshuhudia leo hii.
Bongo hatukua na muwakilishi hata mmoja kwenye kikao cha EAC , kiufupi mzee baba hataki diplomasia kwenye hili Anachowaza yeye ndio hicho hicho anataka kifuatwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu kwanza. Mimi naona Tanzania tunatia aibu sasa. Mara Rwanda, mara Uganda, mara Zambia, mara Kenya. Hivi tuna akili gani sisi? KIla jirani tunagombana nae?
Unajua shida tunazokutana nazo huku mipakini au unasikiliza tu vyanzo vya habari tu ??? Kutoka rusumo hadi kigari huruhusiwi kushuka kwenye gar ata kujisaidia uwende na urudi. Japo umepimwa na pia vipimo vyao sio. Salama mkuu. Hiii kitu isikie ivyo mkuu sio ya kuomba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TZ tunataka na majirani wawe kama sisis bila strict observances /restrictions. hata watu wakiwa positive waachwe waingie, ni coronavirus ni mafuta yatayeyuka
Nilisikia raisi anasema kua sisi hatupangiwi cha kufanya ni taifa huru, kwa hiyo sisi ndio tunahaki ya kuwapangia wengine wakati hata sisi hatutaki kupangiwa , hapa lazima kuwe na makubaliano ya sehem mbili, kwan corona ni janga LA dunia , mbona ss tunajifanya kama tunaishi sayari nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajinga ni wengi sana kwa kweli.
Mkuu JF wakati fulani ilikuwa na watu kama wewe na ilifurahisha kujadili mada.Tulikwa hata na mawaziri tukaongea mambo ya msingi kwa nchi yetu. Kisha wakaingia wana JF yeboyebo mambo yakaharibika! Utagundua kuwa kuna wana JF wengine waliamua kujitoa kwa sababu ya huu uvamizi.
 
Hizi bifu na Kenya sasa naona kama ni utoto na nashangaa inafikia hata viongozi wetu wa ngazi ya mkoa wanahemuka na maamuzi bila kufikiria kumaliza mambo kidiplomasia. Hawa viongozi wanadhani wanamfurahisha Magufuli lakini ukweli ni kwamba wanamdhalilsha Magufuli na Tanzania kwa ujumla.

Ona kwamba tumekuwa na migogoro mipakani sio na Kenya tu, bali na Rwanda na Zambia pia. Hiyo ni dalili kwamba sisi ndio wenye tatizo. Ukiona kila siku wewe tu ndio unagombana na jirani zako, tatizo sio jirani, ni wewe!

Kwanza kabisa tuelewe kwamba nchi hizi jirani, japo sisi hatukuweka lockdown, wao waliweka. Sasa hatuwezi kuwalazimisha wasiwe na lockdown kwa Watanzania kwa kuwa sisi huku kwetu hakuna - huko ni kukosa si tu busara bali akili pia. Kwa mfano, Kenya wana lockdown kiasi kwamba hata kusafiri kati ya jimbo na jimbo, mfano, Nairobi na Mombasa, hairuhusiwi isipokuwa kwa vibali maalum.

Sasa sis tunachotaka kwa Wakenya au Rwanda au Zambia ni nini hasa? Tunataka madereva wetu wasipimwe wanapoingia kwenye hizo nchi? Au tunataka madereva wetu hata wakipimwa wakaonwa wana Corona waruhusiwe tu kuingia kwa kuwa kwetu hakuna lockdown?

Ona kwamba madereva wetu wanasema hawaviamini vipimo vya Kenya. Kenya watafanyaje vipimo vya udanganyifu kwa madereva ambao wanapeleka bidhaa kwao? Hiyo ni akili kweli kudhani mtu unaemplekea bidhaa kama chakula nk akukomoe kwa kukufanyia kipimo cha uongo? Tanzania tunataka tuamini vipimo vipi, maana hata vya kwetu tulisema vinasema mapapai yana Corona ni vipimo feki. Kama ni hivyo tupimwe madereva wetu mipakani basi ili wanapopimwa upande wa Kenya tuweze kubisha kisayansi kuwa upande wetu tumewapima wakaonekana negative.

Vitu vingine tusijifanye kuwa wajuaji na kukorofishana na jirani zetu pasipo sababu. Hatuwezi kuwalazimisha wasiwe na restrictions za Corona kwa kuwa sisi hatuna. Kama sisi hatuna restriction basi ni sawa madereva wao kuingia kwetu bila kupimwa, lakini hatuwezi kudai kuwa na madeeva wetu waingie kwao bila kupimwa!

KUmbuka kwamba madereva wa Kenya wakitoka Tanzania wanaporudi kwao wanawekwa quarantine - sasa kama wanafanya hivyo kwa madereva Wakenya, kwa nini tuone sio sawa wakisema madereva wa Tanzania wawekwe quarantine?

Ona pia thread hii:

Tunaweza kuona tuna msimamo imara suala la Corona lakini mwishoni gharama yake inaweza kuwa Tanzania kukosa heshima na kupoteza urafiki na nchi jirani
kwa kenya tatizo sio corona ni muendeezo wa chuki na hujuma zao kwetu kumbuka kauli za yule mwanamuziki jaguar
 
Back
Top Bottom