Ninadhani , asilimia kubwa ya wabaya ya mheshimiwa rais Samia wapo ndani ya chama kuliko wale walio nje ya chama

Ninadhani , asilimia kubwa ya wabaya ya mheshimiwa rais Samia wapo ndani ya chama kuliko wale walio nje ya chama

Tangu zama za enzi iliamriwa ccm ndio chama kitakacho tawala na upinzani utasaidia!!

Sasa sijui comrades Huwa wanaogooa nini hasa kuhusu upinzani nchini coz ilishaamriwa lazima wao ndio wasaidizi wa ccm kutawala!

Adui wa ccm ni ccm wenzake!!
 
Kwa yanayoendelea mpaka sasa, ninathubutu kusema kuna uwezekano mkubwa wanaomchukia SSH na kuona hatoshi hiyo nafasi ni wale walio ndani ya chama kuliko walio nje ya chama.

Kuna ambao wamejitoa mhanga kuonesha waziwazi kwamba hatoshi, na kuna ambao wakiwa na yeye wanamuunga mkono ila akigeuka kuwapa kidogo wanaungana na wale wanaomuona hatoshi.

Nje ya chama kulingana na mazoea ya wengi waliojiwekea ni kuwa nafasi ya urais hubaki CCM ,wao wanapambania nafasi ya ubunge na udiwani,

Upande wa CCM , wanachama wenye nguvu ya ushawishi ndani ya chama na wanaitaka nafasi ya urais , wanaliona hili jambo la kumpa au kutompa nafasi ya kugombea urais wanalimudu kama watachanga karata zao vizuri.

Hivyo SSH ana kazi kubwa mno ,hana ushawishi ndani ya chama kitu ambacho ni ngumu sana kunadiwa kikamilifu na wanachama wenzake.

Kambi kuu ya upinzani ilikuwa kaskazini , sasa kanda ya ziwa nao hawamkubali na ni wapo wengi mno hapa TZ.

CCM ijitafakari upya , maamuzi magumu ya kukubali uchaguzi urudiwe upya kama SSH apitishwe au lah kulingana na kura zitakazopigwa.
Rais anatosha sana sema Siasa za hovyo tu
 
Ukweli ni kwamba hatoshi kwenye hiyo nafasi ,na hata hao waliomzunguka wanajua kama hatoshi kwenye hiyo nafasi na HAKUBALIKI ndio maana wanaogopa kumshindanisha na mtu yeyote mana wanajua hatapita wanataka kumpa URAISI WA VITI MAALUMU...wa FOMU MOJA.
Kama kweli wanaamini anakubalika waruhusu watu wachukue fomu,halafu atoke nje ya ukumbi aruhusu kamati kuu imjadili na ipitishe majina 40 kati ya hayo majina 40-60 apite tano bora apite na tatu bora..GHAFLA TU mtu mmoja anaibuka kusemea kamati kuu imeshaamua anaisemea kamati kuu ,wanamkingia kifua wanambeba,wanaogopa nini kama anakubalika ndani ya chama.??

2)KIKUNDI CHA WAHUNI WACHACHE mapapa ya mafisadi,mapiga dili ja majizi ,mabilionea ,wana mtandao SYNDICATE,MACARTEL ndiyo wanamtaka APITE KWA AJILI YA KULINDA MASLAHI YAO BINAFSI..dili zao na nafasi za watoto wao wake zao,biashara zao nakadhalika..

3) PIA wanamshauri vibaya mfano mikataba mibovu kama KUUZA BANDARI..ilikuwepi mezani toka awamu zilizopita lakini mbona wao walipokuwwpo madarakani hawakuisaini ..mana walijua ingewachafua wakaiacha magufuli alipoikuta mezani kwake akaikataa AKASEMA NI KICHAA TU ndiye anaweza kusaini mikataba mibovu kama hii ya Kuuza rasilimali za taifa ...lakini wao wanamshauri vibaya kwa sababu wanajua wao hawatachafuka wao na watafaidika nayo wao binafsi na si Taifa.

4)Haya mambo ya KUTEKANA na kuuana pia wanamshauri vibaya,mbona MKAPA alikuwa anasemwa sana ,anachorwa kwenye vibonzo,hata JK alisemwa sana kukosolewa sana lakini mbona wao hawakuteka na kuua watu,mbona walivumilia kukosolewa,katika maisha huwezi hata ya kawaida tu huwezi kupendwa na watu wote ..isikosolewe WEWE SIO MUNGU wewe sio malaika ..nabii Musa aliwatoa wana israeli utumwani MISRI walikokuwa wanateswa na farao,ila walipofika njiani wakaanza kimpinga nabii Musa wakasema bora ungetuacha utumwani Misri tulikuwa tunakula vizuri, kuliko ulivyotuleta jangwani,yani kuna watu wanampinga hata Mungu aliewaumba.,wengine wanamkosoa Mungu alivyowaumba kwa kunikarabati kurekebisha asili ya maumbile yaa wqlivyoumbwa wanamkosoa Mungu.WEWE ni nani usiotaka KUKOSOLEWA na KUPINGWA..
Yule KIJANA kachoma picha tu aliyechora mwenyewe amekamatwa ..watu wanatekwa kwa sababu ya KUKOSOA ...tunachafua taswira ya nchi..wanaoshauri wanashauri vibaya na hata kipindi cha uongozi wao pia hawakufanya hivyo wao,
RAFIKI anyekushauru vibaya huyo ndiyo HAKUTAKII MEMA na hakupendi.
Ila hawa akina GWAJIMA,POLE POLE na wanashauri vizuri..

5)Kufungia vyama vya UPINZANI haina haja chama tawala si huwa kinashinda miaka yote toka uhuru,sasa kuna haja gani ya kuwafunga wapinzani ,na kufungia wapinzani wakati wa kipindi cha kampeni...ILA HALI UHAKIKA WA KUSHINDA UPO NA MIAKA YOTE HUWA MNASHINDA..sasaa hii si ni kujichafua...
Vyombo vya dola ni vyenu,tume ya uchaguzi ni yenu,UHAKIKA wa kushinda kwa asilimia zaidi 100% upo sasa kwa nini kufungia upinzani??
Hii inachafua na kubomoa zaidi ya kujenga,na inazidi kuipa nguvu upinzani na umaarufu mpaka nje ya mipaka ya kimataifa ,unaweza kufikiri unaidhoofisha au una ua upinzani kumbe ndio unaipa nguvu na umaarufu,na kuipa kukubalika na wananchi na puplic sympathy.na jamii za kimatifa zinazopenda DEMOKRASIA.
Yani huwezi ukashindana mbio na mpinzani wako unayeshindana naye huku UMEMFUNGA KWA KAMBA MIKONO NA MIGUU,halafu useme nimemshinda mbio.
N:B/ANGALIZO***CHAUMA au ACT haviwezi vikawa VYAMA VIKUU VYA UPINZANI mbadala wa CHADEMA haiwezekani.CHADEMA HAIWEZI KUFA KWA STAILI HII.
Mimi siamini kama kwenye chama cha kijani hakuna mtu mwenye Akili mbona wakati wa JK hakukuwa na ujinga kama huu,nahisi wanamdanganya afanye vitu ambavyo hata wao hawawezi kuvifanya HUKU WANAMCHEKA..
Wana CCM wenzangu tufuate ushauru wa POLE POLE NA GWAJIMA.

6)WATANZANIA WA LEO ni tofauti sana na watanzania wa miaka 20 au 10 iliyopita..wameelimika ,utandawazi umekuwa sana,wanaelewa sana kuliko tulivyowazoea UJINGA umepungua sana hata uko vijijini ..
sio wa kuwanunulia kofia na tisheti kuwapa baiskeli na piki piki...WANATAKA HAKI UTAEALA WA SHERIA,DEMOKRASIA NA MAENDELEO..na huko tunakoenda 2030 na kuendlea ndio UELEWA WA WATANZANIA utaongezeka MARAFUFU,watadai HAKI NA MAENDELEO sio kuhongwa ili wakuchague kwa nguo,pesa baiskeli,pikipiki,kofia,vitenge na vinywaji au chakula..huko mbeleni watu wataamka,hawatalala milele.

View: https://youtu.be/5HiTEZ2P-kQ?si=Cin32ialzNYuPWhR

Yaani we ni takataka tena iliyooza, umeandika uozo. Samia mambo aliyoyafanya ni miujiza na dunia nzima inajua. We mamako ndio hakutosha kuzaa kibwengo km wewe. Mtalia na kusaga meno urais mtausikia kwenye bomba. Hakuna wa kushindanishwa na Samia nchi hii kwa sasa, subirini uchaguzi atashinda kwa zaidi ya asilimia 90. Nyie mambwa koko mtaendelea kujificha humu km misukule. Kwa utamaduni wa CCM mwaka huu fomu ni moja, mkutano mkuu umempigia kwa 99.8% we ngedere ni nani? Chukua fomu kupitia chama chako hicho ushindane naye, unabwabwaja nini humu? Rubbish!
 
Unagombana na mtu ambaye ana makanisa elfu mbili yenye waumini wanaomuombea zaidi ya elfu mbili,na KATIKA ULIMWENGU WA KIROHO maombi ya watu wanaotumia hili jina la YESU ni maombi hatari sana,hilo jina la YESU lina nguvu sana ,ni kama MOTO UNAOKULA(MOTO ULAO) ..unaoteketeza na kuharibu kazi nguvu za waganga wa kienyeji,nguvu za majini,wachawi na walozi na kuzimu ,jina la Yesu linaunguza majini na kizimu inapasuka ,na hata shetani mwenyewe na wachawi wanaanguka chini na kuungua JINA LA YESU LINAPOTAMKWA NA MTU Mmoja tu,..yale maombi ya waumini wa GWAJIMA wanaomuombea Gwajima ni hatari sanaaa..mtu anayegombana naye Gwajima lazima ataharibikiwa sana...tena yule anayefunga makanisa yake na kubomoa makanisa yake mana ni makanisa ya Mungu ni sawa na kugombana na Mungu,yani lazima atapata uharibifu mkubwa..ndio maana hata WACHAWI ,wanalindwa na majini..huwa hawataki watu wanaosali kwa jina la Yesu ,wasali kwa sababu maombi ya watu wanasali kwa jina la Yesu yanawaletea uharibifu mkubwa..
NA HATA SASA nchi hii imekuwa na AMANI na utulivu na baraka ni kwa sababu ya MAOMBI ya watu WANAOIOMBEA NCHI HII.tena maombi ya hawa watu wa YESU yakiambatana na KUFUNGA KULA watu wanafunga zaidi ya siku tatu kavu bila kula wala kunywa hukubwanasali,acha kabisa hayo maombi ni moto mkalinsana ninkama bomu la nyuklia..wanajeshi wanailinda nchi sawa lakini MUNGU pia anailinda nchi hii kutokana na maombi ya watu wanaosali kwa hilli JINA LA YESU.

View: https://youtu.be/d8Z2Pki-9kE?si=SLSXo65M2NbQa5-i

We ni taahira km huyo tapeli wako
 
Kwa yanayoendelea mpaka sasa, ninathubutu kusema kuna uwezekano mkubwa wanaomchukia SSH na kuona hatoshi hiyo nafasi ni wale walio ndani ya chama kuliko walio nje ya chama.

Kuna ambao wamejitoa mhanga kuonesha waziwazi kwamba hatoshi, na kuna ambao wakiwa na yeye wanamuunga mkono ila akigeuka kuwapa kidogo wanaungana na wale wanaomuona hatoshi.

Nje ya chama kulingana na mazoea ya wengi waliojiwekea ni kuwa nafasi ya urais hubaki CCM ,wao wanapambania nafasi ya ubunge na udiwani,

Upande wa CCM , wanachama wenye nguvu ya ushawishi ndani ya chama na wanaitaka nafasi ya urais , wanaliona hili jambo la kumpa au kutompa nafasi ya kugombea urais wanalimudu kama watachanga karata zao vizuri.

Hivyo SSH ana kazi kubwa mno ,hana ushawishi ndani ya chama kitu ambacho ni ngumu sana kunadiwa kikamilifu na wanachama wenzake.

Kambi kuu ya upinzani ilikuwa kaskazini , sasa kanda ya ziwa nao hawamkubali na ni wapo wengi mno hapa TZ.

CCM ijitafakari upya , maamuzi magumu ya kukubali uchaguzi urudiwe upya kama SSH apitishwe au lah kulingana na kura zitakazopigwa.
Yeye ndo mbaya kwa chama kwa kukiuka utaratibu.Kama angefuata taratibu hakuna mtu angemnyoshea kidole.Nchimbi aliteuliwa kuwa makamu si kwa sababu anapendwa ila angeleta upinzani.Wamemziba mdomo ila najua timu msoga na hangaya wanamuogopa sana.Meza ikipinduliwa(hili haliepukiki) Nchimbi ndiye atachukua nafasi ya ugombea.
 
Yaani we ni takataka tena iliyooza, umeandika uozo. Samia mambo aliyoyafanya ni miujiza na dunia nzima inajua. We mamako ndio hakutosha kuzaa kibwengo km wewe. Mtalia na kusaga meno urais mtausikia kwenye bomba. Hakuna wa kushindanishwa na Samia nchi hii kwa sasa, subirini uchaguzi atashinda kwa zaidi ya asilimia 90. Nyie mambwa koko mtaendelea kujificha humu km misukule. Kwa utamaduni wa CCM mwaka huu fomu ni moja, mkutano mkuu umempigia kwa 99.8% we ngedere ni nani? Chukua fomu kupitia chama chako hicho ushindane naye, unabwabwaja nini humu? Rubbish!
Kama wewe ni Me bora uvae sketi tu
 
Back
Top Bottom