SamuraiJack
JF-Expert Member
- Dec 24, 2017
- 462
- 740
Sijakuelewa hapo kwa muda ambao naona itanilipa, yani niwakabidhi kama boda boda kwamba baada ya muda iwe yao?kwa muda ambao utaona inakulipa
Nishalewa watakuja wajanjaSijakuelewa hapo kwa muda ambao naona itanilipa, yani niwakabidhi kama boda boda kwamba baada ya muda iwe yao?
Nilliona Pale Mjini Zanzibar Catalunya kuna secretary yeye ndiye hupokea na kurecord malipo yoote, Wahudumu wao wanaendelea na kazi zao.Habari zenu wakuu? Natumaini wote mpo salama na mnaendelea vizuri.
Nina mtaji ambao ninatarajia kuwekeza katika kufungua barber shop eneo la Msamvu, karibu na Stendi Kuu ya Morogoro. Mpango wangu ni kuwa na viti vinne vya kisasa vya kunyolea, pamoja na chumba maalumu cha scrub chenye vitanda viwili na sinki la kuoshea. Tayari nimefanya makadirio ya gharama zote zinazohitajika, ikiwemo AC, heater ya maji, partition za ndani, pamoja na kupata eneo la biashara.
Niliwahi kumiliki salon ndogo miaka iliyopita, lakini niliiuza kutokana na kubanwa na majukumu mengine. Mimi si kinyozi, hivyo nilishindwa kuisimamia ipasavyo. Safari hii nimejipanga vizuri zaidi. Pia nimepanga kufunga CCTV kwenye eneo la kunyolea, reception na sehemu nyingine muhimu kwa ajili ya usalama na ufuatiliaji wa biashara. Isipokuwa ndani ya chumba cha scrub, ambapo sitaweka kamera kwa sababu za faragha.
Sasa naomba ushauri wa wenye uzoefu wa biashara hii. Je, mfumo gani ni bora zaidi wa usimamizi? Niwaajiri vinyozi kwa mshahara wa mwezi, au nimkabidhi kinyozi mmoja asimamie saluni? Au kila kinyozi awe na kiti chake na anikabidhi makubaliano ya mapato kila wiki au kila siku? Pia nimekuwa nikifikiria kama ni vyema kuajiri receptionist au secretary ambaye kazi yake iwe kupokea wateja, kurekodi mauzo, kukusanya mapato na kusimamia hesabu, kisha vinyozi walipwe kwa wiki au mwisho wa mwezi. Sipendi mfumo wa kuwalipa kwa siku.
Kwa wenye uzoefu, hasa wa biashara za barber shop katika maeneo yenye shughuli nyingi kama Morogoro, mnanishauri mfumo gani wa malipo na usimamizi? Kama ni mshahara wa mwezi, kwa sasa ni kiwango gani kinachofaa kwa kinyozi mzuri? Na kama ni mfumo wa makabidhiano ya mapato, kwa kawaida kila kinyozi anatakiwa kukabidhi kiasi gani kwa wiki ili biashara iwe na faida kwa pande zote?
Karibuni sana kwa ushauri, uzoefu na maoni yenu. Asanteni.
Asante kiongozi, hii Catalunia ya Zanzibar ni.ile ambayo ipo Kiembe Samaki sheli?Nilliona Pale Mjini Zanzibar Catalunya kuna secretary yeye ndiye hupokea na kurecord malipo yoote, Wahudumu wao wanaendelea na kazi zao.
Lakini kwa Mfumo wa Tanzania ambao Wananchi wale ni wezi na wenye tamaa utalatibu huu wengi hawatakubali kwani kila mfanya kazi Anapenda upenyo wa kupiga, kwa hiyo Jiandae utakapokosa wafanya kazi( Viongozi)
Kuwa na receptionist ni must!.Habari zenu wakuu? Natumaini wote mpo salama na mnaendelea vizuri.
Nina mtaji ambao ninatarajia kuwekeza katika kufungua barber shop eneo la Msamvu, karibu na Stendi Kuu ya Morogoro. Mpango wangu ni kuwa na viti vinne vya kisasa vya kunyolea, pamoja na chumba maalumu cha scrub chenye vitanda viwili na sinki la kuoshea. Tayari nimefanya makadirio ya gharama zote zinazohitajika, ikiwemo AC, heater ya maji, partition za ndani, pamoja na kupata eneo la biashara.
Niliwahi kumiliki salon ndogo miaka iliyopita, lakini niliiuza kutokana na kubanwa na majukumu mengine. Mimi si kinyozi, hivyo nilishindwa kuisimamia ipasavyo. Safari hii nimejipanga vizuri zaidi. Pia nimepanga kufunga CCTV kwenye eneo la kunyolea, reception na sehemu nyingine muhimu kwa ajili ya usalama na ufuatiliaji wa biashara. Isipokuwa ndani ya chumba cha scrub, ambapo sitaweka kamera kwa sababu za faragha.
Sasa naomba ushauri wa wenye uzoefu wa biashara hii. Je, mfumo gani ni bora zaidi wa usimamizi? Niwaajiri vinyozi kwa mshahara wa mwezi, au nimkabidhi kinyozi mmoja asimamie saluni? Au kila kinyozi awe na kiti chake na anikabidhi makubaliano ya mapato kila wiki au kila siku? Pia nimekuwa nikifikiria kama ni vyema kuajiri receptionist au secretary ambaye kazi yake iwe kupokea wateja, kurekodi mauzo, kukusanya mapato na kusimamia hesabu, kisha vinyozi walipwe kwa wiki au mwisho wa mwezi. Sipendi mfumo wa kuwalipa kwa siku.
Kwa wenye uzoefu, hasa wa biashara za barber shop katika maeneo yenye shughuli nyingi kama Morogoro, mnanishauri mfumo gani wa malipo na usimamizi? Kama ni mshahara wa mwezi, kwa sasa ni kiwango gani kinachofaa kwa kinyozi mzuri? Na kama ni mfumo wa makabidhiano ya mapato, kwa kawaida kila kinyozi anatakiwa kukabidhi kiasi gani kwa wiki ili biashara iwe na faida kwa pande zote?
Karibuni sana kwa ushauri, uzoefu na maoni yenu. Asanteni.
Sawa kaka ni wapi huko? Na challenge anazokutana nazo ni zipi? na kweli ugali dagaa sio chakula! Kwanini hiyo hela ya chakula asiwaongezee kwny mshahara! Ile iwe formal kama ofisi zingine maana 90% ya ofisi nyingi unalipwa mshahara wako! Chakula utajijua.Kuwa na receptionist ni must!.
Huku niliko, 99.9 ya barbershops...wanalipa vinyozi kwa mwezi 200,000-250,00
Wanapatiwa chai asubuhi+ugali dagaa(hichi mm sikiiti chakula)...na mpishi alieajiriwa na ofisi
Hapa nimekuelewa mkuu 😁Usisahau kuweka pisi za singida
Fafanua kidogoMkataba, wawe wanakabidhi Hesabu.
Huku niliko chakula na mahali pa kulala ndio vitu vyenye gharama!, ni machimboni, Chumba cha chini ni 50k , ugali dagaa 2000!Sawa kaka ni wapi huko? Na challenge anazokutana nazo ni zipi? na kweli ugali dagaa sio chakula! Kwanini hiyo hela ya chakula asiwaongezee kwny mshahara! Ile iwe formal kama ofisi zingine maana 90% ya ofisi nyingi unalipwa mshahara wako! Chakula utajijua.
Mimi sitakwepo hapo muda wote japo CCTV zitakwepo, hii kuwalipa kwa siku iwe flat rate au kwa idadi ya vichwa alivyonyoa kinyozi?Funga hesabu kwa siku wakupe chako na wao wachukue chao.
Ahahah sawa mkuu nimekuelewa piaHuku niliko chakula na mahali pa kulala ndio vitu vyenye gharama!, ni machimboni, Chumba cha chini ni 50k , ugali dagaa 2000!
Kumiliki ghetto ni mahari tosha kwa mtoto wa kike. Kyuuuma ni bei rahisi kuliko chakula!