Wahuni nina card yao mpya haijawahi lamba ata ATM niliwakataa toka day 1 yule marketing officer wao alituingiza cha kike😅[emoji1787][emoji1787][emoji1787]acha kuwaharibia biashara, unataka wakale wapi?
"wako vizuri kwenye makato ya ajabu ajabu"wako vizuri kwenye makato ya ajabu ajabu
Wahuni nina card yao mpya haijawahi lamba ata ATM niliwakataa toka day 1 yule marketing officer wao alituingiza cha kike[emoji28]
Zinafanana kama vituo vya mafuta, Tanzania hakuna ubunifu hakuna ushindani yaani ukienda Bank moja wakikupa jibu basi wala usihangaike kwenda Bank nyingine ukadhani utapata jibu au huduma tofauti wafanya kazi kwa kukariri tu huduma za wateja ni walewale hawana jipya. mbaya zaidi bank yenye wateja wengi na yenye wateja wachache ni wale wale hakuna ushindani wa ubunifu unategemea mdogo akaja kivingine ile we mkubwa kuvuta watu ila narudi pale pale hawana jipya wala ubunifu.Bank zote TZ zinafanana. Bahati mbaya huna namna.
Zinafanana kama vituo vya mafuta, Tanzania hakuna ubunifu hakuna ushindani yaani ukienda Bank moja wakikupa jibu basi wala usihangaike kwenda Bank nyingine ukadhani utapata jibu au huduma tofauti wafanya kazi kwa kukariri tu huduma za wateja ni walewale hawana jipya. mbaya zaidi bank yenye wateja wengi na yenye wateja wachache ni wale wale hakuna ushindani wa ubunifu unategemea mdogo akaja kivingine ile we mkubwa kuvuta watu ila narudi pale pale hawana jipya wala ubunifu. Wakati mmoja nilidafiri mji mmoja nikafikia Hotel moja nzuri sana tu japo mji ule una Hotel nyingi tu 5 star zinafanana kwa ubora ila hii Hotel kufika pale hujazi chochote unapewa chumba then anakuja yule mtu wa reception na Laptop yake kwa adabu anakuja room anafanya taratibu zote chumbani inakufanya usiwasahu sababu wanakufanya ujisikie Bill gates kumbe huna lolote kubwa huu ni ubunifu kuwa tofauti na wengine. Ila Tz Bank zote sawa kampuni zote za simu sawa tofauti majina ya ajabu tu ya package zao. Utakuwa Bank inajitangaza sana sasa mteja fika Bank hao customer care utatapika wakati walitakiwa wafanye juhudi wakunase usitoke ili ukienda nje uwatangaze kwa mazuri ndio strategy ya kujitangaza ila ukitoka hapo hata kuangalia nyuma huangalii jioni unawaona kwenye TV Bank bora fika tawi lolote bla bla bla ujinga mtupu..
Kweli sana tu sio haki kwa wateja hakuna ushindani na ubunifu maana hiyo ndio nafuu kwa wateja, nchi haiwezi kwenda kwa kufanana miaka ya 80 kulikuwa kina Mama wanavaa kaniki zinaitwa mawingu sijui maduka yote nguo zinafanana lakini unakuta mtu anatembea maduka yote anataka kununua lakini maduka yote yana bidhaa zilezile za mawingu hakuna jipya sasa badala ya kuokoa muda ingia duka moja tu chukuwa ondoka lakini mtu anatembea maduka yote akitegemea labda ataona kitu tofauti ndio kama Bank zetu na kampuni za simu.[emoji16][emoji16][emoji16]umeandika kwa hasira sana.
Mara 1,000 hukoVipi kuhusu Standard Chartered?
Dah actual bal 0.00 Available Balance -18,000 NMB kiboko
Hawa ABSA riba yao ni asilimia ngapi?Bank ambazo ambazo hazina ujinga Ni international banks.
Nilikuwa nawakubali Sana Barclays kwa Sasa ABSA.
Hata equity bank wako vizuri ila hizi bank za nyumbani Ni shida Sana.
HAHAHAHACrdb wako vizuri kwenye makato ya ajabu ajabu
Kwani hawana internet banking ?Bank yenye tabia za kipekee ni Equity tu kwa sasa! Hawana ujinga wa kuchezea hela zako ukiweka mle ni kama kibubu😅
Drawback:
Ikitokea Emergency kuipata hela yako utachora chini maana kwa Dar ATM yao iko Mikocheni tu😅! Usipompata wakala unaweza lia na mawakala wake sio wengi.
Situmiagi hizo huduma na sijafuatilia sana. Huenda wanayoKwani hawana internet banking ?
Absa is the best aisee. Customer care nzuri sana na hakuna makato ya kichawi. Online banking yao iko very smooth.Bank ambazo ambazo hazina ujinga Ni international banks.
Nilikuwa nawakubali Sana Barclays kwa Sasa ABSA.
Hata equity bank wako vizuri ila hizi bank za nyumbani Ni shida Sana.
Bonge moja la bank unahudumiwa Hadi unatamani umpe hela anaekuhudumia.Absa is the best aisee. Customer care nzuri sana na hakuna makato ya kichawi. Online banking yao iko very smooth.
Nilihudumiwa mpaka nikajikuta nachukua namba ya hiyo pisi aisee pale citymall branch. Huduma safi + pisi kali Absa sihami wamenibless sanaBonge moja la bank unahudumiwa Hadi unatamani umpe hela anaekuhudumia.
Bank yenye tabia za kipekee ni Equity tu kwa sasa! Hawana ujinga wa kuchezea hela zako ukiweka mle ni kama kibubu😅
Drawback:
Ikitokea Emergency kuipata hela yako utachora chini maana kwa Dar ATM yao iko Mikocheni tu😅! Usipompata wakala unaweza lia na mawakala wake sio wengi.