Supercomputer
JF-Expert Member
- Feb 13, 2021
- 634
- 1,311
Nilitoa kupitia simbanking.Sasa kuhusu hela zako banki ulifanyaje, au kulikuwa na salio lile la kinda mfuko la elfu tisa??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilitoa kupitia simbanking.Sasa kuhusu hela zako banki ulifanyaje, au kulikuwa na salio lile la kinda mfuko la elfu tisa??
Daaah sikutegemea kabisanjoo nmb kidogo wana nafuu naweza kutoa mfno 500k nkakatwa mpka buku 2 tu kwenye ATM
kingine nachopendea ni ukiwa na app yao kucheki balance ni bure bas nikiwa na vijisent vyangu kila nikitoa hela lazma nihakiki mzigo wangu to be honest kwa hilo naenjoi nao
Usithubutu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]na vipi kuhusu Standard Chartered?
Wewe ulivyokua unagonga mabinamu zako wa kike (kazins) ulitarajia maishani na wewe usipatwe misukosuko🤣Wahuni nina card yao mpya haijawahi lamba ata ATM niliwakataa toka day 1 yule marketing officer wao alituingiza cha kike😅
Bongo hakuna Law School, bali kuna Low School tu!Nategemea kipindi hiki cha ukosefu wa ajira vijana waliotoka law school watanusa kitu😊😊
Tulia basi babu 🤣Wewe ulivyokua unagonga mabinamu zako wa kike (kazins) ulitarajia maishani na wewe usipatwe misukosuko🤣
Ukitoka nje ya nchi ukafanikiwa kutumia Banks za wenzetu ndio utajua Banks za Bongo ni Wanyonyaji wasio na huruma kama enzi za ukoloni.Mabank ya Kitanzania sijui yanafanyaje biashara yani makato ni makubwa kama una ka hela ka ngama ni bora uweke chini ya godoro tu.
Ndiomaana yanapata super profit kila msimu.
Hahaa bongo ni balaa mkuu.Ukitoka nje ya nchi ukafanikiwa kutumia Banks za wenzetu ndio utajua Banks za Bongo ni Wanyonyaji wasio na huruma kama enzi za ukoloni.
We ulishaona wapi kuangali salio online kwenye App eti napo unakatwa?
Wenzetu miamala yote ni bure, unalipia card fee tu kwa mwezi. Tena pesa ndogo kweli.
Hawana paperwork nyingi, 300k+ hamna makato ya mweziBonge moja la bank unahudumiwa Hadi unatamani umpe hela anaekuhudumia.
Nilishawakimbia haoUsithubutu
Equity Bank wana huduma nzuri sana na hawana makato makato ya ajabu