Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
zamani ukiweka fedha bank wanazifanyia bishara na kukuwekea interest angalau ya kufanya hela zako zisipungue baada ya makato yao, tofauti na sasa ukiweka laki mbili kwenye account baada ya miaka mitatu unaweza kuta zimebakia 140,000Ndugu wasomaji,
Nimeamua sasa kuachana CRDB bank kutokana na makato yasiokuwa na Tija yoyote. Najiuliza, hivi ndio kusema kuweka fedha bank ni utajiti?
Makato yao yanaumiza sana na hayana uhalali wa aina yoyote, haisadi sekta ya bank kukua, mitaji kukua, kukopesha nk.
Nadhani ni wakati wa BoT kuangalia hizi sera za mabank pamoja na huduma zao.
Kwahivyo naona ni bora kutafuta mbadala. Nachoomba ushauri ni bank gani ambayo inatoa online services, mastercard, visa, account activities etc.
Maana kwakweli CRDB wamenishinda. Kupata card, online access ilikuwa ngumu kama kitu gani. Toka Kimei ameondoka naona imekuwa bank ya hovyo sana.
Equity kama upo Darisalama ni bank bora sana. Lakini mkoani huwezi kuimudu! Equity nimetumia sana ni bank nzuri hakuna makato ya hovyo kama CRDB. CRDB kila mwezi hunitumia statement Mara maintenance 300, nini fees 1500, kitu cha mtume 2000, ni wizi sanaBank yenye tabia za kipekee ni Equity tu kwa sasa! Hawana ujinga wa kuchezea hela zako ukiweka mle ni kama kibubu[emoji28]
Drawback:
Ikitokea Emergency kuipata hela yako utachora chini maana kwa Dar ATM yao iko Mikocheni tu[emoji28]! Usipompata wakala unaweza lia na mawakala wake sio wengi.
Siku moja nilidownload App ya CRDB nilijua ni mambo ya Equity bank, unaingia bure, unatoka bure. Due! Kumbe ukiingia tu wanakata JERO sijui. Equity App ni bure. Muda wote unachungulia salio lako bando lako tuHata mi kwa sasa Equity ndio nawaelewa!
Uwe unatumia simbanking na atm zingine.
Hao crdb mi sina hamu nao, mwaka huu huu waliwahi kunifanyia mauza uza ambayo sitayasahau, VISA card yangu ilinigomea na ndio acc yangu iliyokuwa na hela na nilikuwa mbalii[emoji852][emoji852] yani ilinibidi nikawatafute hao crdb hadi twitter maana ndio niliona wanarespond haraka, napo wakasema niwatumie email ila mpaka walipokuja kurespond ilichukua muda na haikuishia hapo iliwachukua siku nyingi sana wao kutatua tatizo langu. Kiasi kama nisingekuwa na namna nyingine basi ningeadhirika mchana kweupee,
Toka hapo nikaanza kuithamini acc yangu ya Equity ambayo nilikuwa naidharau mno, kwanza nilikuwa naiwekea tu kama 10,000 kwa mwezi ili tu iwe active, lakini iliniokoa sana
Kumbe ukiingia tu kwenye app wanakata hela?? Hii sikuwa najua kwakweliSiku moja nilidownload App ya CRDB nilijua ni mambo ya Equity bank, unaingia bure, unatoka bure. Due! Kumbe ukiingia tu wanakata JERO sijui. Equity App ni bure. Muda wote unachungulia salio lako bando lako tu
CRDB NI JANGA, kuna tawi pale Arusha linaitwa Usa-River kuna binti yuko kwenye mikopo anaitwa sijui Tarimo D anavyowanyanyasa wateja sijawahi ona. Ukiwa na mkopo wanakuchukulia km jambazi, ni km uliiba. Ikifika tar 22 kila mwezi wanafunga akaunti mpaka tar 27 kila mwezi. Km leo siwezi kuacces A/C yangu mpaka tar 27 kisa nina mkopo pale. Halafu makato hayana fomula, mtu una take home ya sh 1,200,000/ unakatwa mpaka 980,000/ kwa mwezi. Nimejaribu kufuatilia nimeshindwa. Nasuburi muda wao uishe kwa sahv naishi km shetani.
Yaani ukiingia tu wana wewe hapo hapoKumbe ukiingia tu kwenye app wanakata hela?? Hii sikuwa najua kwakweli
Njoo standard chartered wakununulie mkopo uo na ela unapewa. Cash loan adi 150m. Mortgage loan adi 1b.aisee pole sana
CRDB Majambazi msiweke pesa huko, wajitathmini yawezekana kunawafanyakazi wa humo wameanzisha mchezo mchafu, juzi kuna mtu hajakuta hata cent kwenye account yake.Ndugu wasomaji,
Nimeamua sasa kuachana CRDB bank kutokana na makato yasiokuwa na Tija yoyote. Najiuliza, hivi ndio kusema kuweka fedha bank ni utajiti?
Makato yao yanaumiza sana na hayana uhalali wa aina yoyote, haisadi sekta ya bank kukua, mitaji kukua, kukopesha nk.
Nadhani ni wakati wa BoT kuangalia hizi sera za mabank pamoja na huduma zao.
Kwahivyo naona ni bora kutafuta mbadala. Nachoomba ushauri ni bank gani ambayo inatoa online services, mastercard, visa, account activities etc.
Maana kwakweli CRDB wamenishinda. Kupata card, online access ilikuwa ngumu kama kitu gani. Toka Kimei ameondoka naona imekuwa bank ya hovyo sana.
Mh. Check statement n branch desk watakufafanulia.kuna card fees kwa mwaka=zinanzia 19800, 29800 nakuendelea ikiwa ni mastercard yakawaida/visa 19800 kwa mwaka,izo platnumz infinity and so on ndo zinaanzia 29800 kwenda juunlfikiri watu wanaongea tu kumbe haya mambi ni ya kweli baada ya mimi kwenda leo kutoa hela hapo ninunulie familia tukuku na soda.. aisee ndani ya tar 10 mpak 24 wamenikata charges 40k.. somthing is wrong.. na hii ndo itakua transaction yangu yamwsho...nimekomba kila kitu
Pole sana mkuu. Mi mwenyewe jamaa wananipiga panga kila mwezi. Mungu jalia mkopo wao ukiisha wataona manyoya tuCRDB NI JANGA, kuna tawi pale Arusha linaitwa Usa-River kuna binti yuko kwenye mikopo anaitwa sijui Tarimo D anavyowanyanyasa wateja sijawahi ona. Ukiwa na mkopo wanakuchukulia km jambazi, ni km uliiba. Ikifika tar 22 kila mwezi wanafunga akaunti mpaka tar 27 kila mwezi. Km leo siwezi kuacces A/C yangu mpaka tar 27 kisa nina mkopo pale. Halafu makato hayana fomula, mtu una take home ya sh 1,200,000/ unakatwa mpaka 980,000/ kwa mwezi. Nimejaribu kufuatilia nimeshindwa. Nasuburi muda wao uishe kwa sahv naishi km shetani.
Kiukweli CRDB imepwaya sana kwa huduma zake siku hiziHalafu utawasikia mwisho wa mwaka wanatangaza faida ya mabilioni!! Kumbe wizi mtupu!! Ni manyang'anyi yanayovaa tai na suti.
Standard Chartered wameshaanza ujinga wao
Kadi yangu ya CRDB ilipotea, eti kupata nyingine sh 23800 niliwahama siku hiyo hiyo
CRDB hawako open kwenye gharama za huduma zao.