Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,754
- 4,746
Kindly share their rate mkuu.Ni nafuu zinabebeka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kindly share their rate mkuu.Ni nafuu zinabebeka
tatizo wanakata bila kusema, sikuhyo walinikata, nikaachana nao mara mojaJuzi nilitoa kiasi flan salio likabaki vzuri tuu, Jana nmeenda kutoa tena nakuta kiasi Cha elf 20 hakipo, Sasa najiuliza iyo elf 20 imepotelea wap? Ni moja kati ya bank ya ajabu Sana na wanakata pesa bila sababu yoyote nasubiri apa wakanipe maelezo vizuri kabla sijaama iyo bank
Maendeleo BankNdugu wasomaji,
Nimeamua sasa kuachana CRDB bank kutokana na makato yasiokuwa na Tija yoyote. Najiuliza, hivi ndio kusema kuweka fedha bank ni utajiti?
Makato yao yanaumiza sana na hayana uhalali wa aina yoyote, haisadi sekta ya bank kukua, mitaji kukua, kukopesha nk.
Nadhani ni wakati wa BoT kuangalia hizi sera za mabank pamoja na huduma zao.
Kwahivyo naona ni bora kutafuta mbadala. Nachoomba ushauri ni bank gani ambayo inatoa online services, mastercard, visa, account activities etc.
Maana kwakweli CRDB wamenishinda. Kupata card, online access ilikuwa ngumu kama kitu gani. Toka Kimei ameondoka naona imekuwa bank ya hovyo sana.
Mkuu, siku za nyuma ulikuwa unajitolea sana kusanua watu wasipigwe na madalali matapeli wanaouza gari zenye usajili wa zamani kwa bei kubwa ya soko kwenye nyuzi za magari...Ngoja nisubirie
Go via website standard chartered tanzania.na loan calculator iko apo,am not sure if the interest.i think its around 14 to 20% iv.website inaonesha kila kituRiba yao bei gani mkuu?
CRDB wamezidi jamani, kuna siku nilikuwa na shida na sh laki moja, mtu kanitumia bank, kwenda kutoa nikaambulia elfu 75....niliumia sanaBank zote TZ zinafanana. Bahati mbaya huna namna.
Sababu ni kuwa watu hawajielewi,Mkuu, siku za nyuma ulikuwa unajitolea sana kusanua watu wasipigwe na madalali matapeli wanaouza gari zenye usajili wa zamani kwa bei kubwa ya soko kwenye nyuzi za magari...
Matapeli walikuchukia, lkn kwa wanyonge wengi ulikuwa na msaada mkubwa sana!
Kwanini uliamua kuacha..?
Acha uongo mkuu..CRDB haijawahi kuwa benki nafuu hata kipindi hiki cha mwisho mwisho cha Kimei.crdb ilikua bank bora sana Kimei kaondoka na crdb yake hii ya sasa majanga
Mkuu fungua blockhain wallet au exchanges kama Binace,trust wallet ,Huobi global etc......weka hela zako interm of stable currencies kama USDTNdugu wasomaji,
Nimeamua sasa kuachana CRDB bank kutokana na makato yasiokuwa na Tija yoyote. Najiuliza, hivi ndio kusema kuweka fedha bank ni utajiti?
Makato yao yanaumiza sana na hayana uhalali wa aina yoyote, haisadi sekta ya bank kukua, mitaji kukua, kukopesha nk.
Nadhani ni wakati wa BoT kuangalia hizi sera za mabank pamoja na huduma zao.
Kwahivyo naona ni bora kutafuta mbadala. Nachoomba ushauri ni bank gani ambayo inatoa online services, mastercard, visa, account activities etc.
Maana kwakweli CRDB wamenishinda. Kupata card, online access ilikuwa ngumu kama kitu gani. Toka Kimei ameondoka naona imekuwa bank ya hovyo sana.
CRDB NI JANGA, kuna tawi pale Arusha linaitwa Usa-River kuna binti yuko kwenye mikopo anaitwa sijui Tarimo D anavyowanyanyasa wateja sijawahi ona. Ukiwa na mkopo wanakuchukulia km jambazi, ni km uliiba. Ikifika tar 22 kila mwezi wanafunga akaunti mpaka tar 27 kila mwezi. Km leo siwezi kuacces A/C yangu mpaka tar 27 kisa nina mkopo pale. Halafu makato hayana fomula, mtu una take home ya sh 1,200,000/ unakatwa mpaka 980,000/ kwa mwezi. Nimejaribu kufuatilia nimeshindwa. Nasuburi muda wao uishe kwa sahv naishi km shetani.
CRDB wamezidi jamani, kuna siku nilikuwa na shida na sh laki moja, mtu kanitumia bank, kwenda kutoa nikaambulia elfu 75....niliumia sana
Hata wakati wa Kimei ilikuwa hovyo tu. Tena ilivyoanza pata tenda za serikali kama nmb ndo ikafia huko.
Bank zote TZ zinafanana. Bahati mbaya huna namna.
Mabank ya Kitanzania sijui yanafanyaje biashara yani makato ni makubwa kama una ka hela ka ngama ni bora uweke chini ya godoro tu.
Ndiomaana yanapata super profit kila msimu.
Aisee kama sina dharura na haraka huwa naingia kutoa ndani dirishani kwa teller angalau makato ni nafuu.Ndugu wasomaji,