Ninahisi kupata ugonjwa wa sonona, nahitaji rafiki wa kike

Kijana unaishi kama mzee lazima akili iwe wazi kufurahi kama mimi nimekuwa furaha ya ghafla moyoni baada ya Arsenal kumfunga liverpunga na jana simba kushinda....Shabikia hata mpira tena nenda vibanda umiza...

Jichanganye na watu inatoa mawazo mabaya zunguka hata weekend ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…