Lior
JF-Expert Member
- Jul 30, 2018
- 1,617
- 3,697
Ushauri bora sana wa kibobezi🙌🤣Tafuta bar yenye watoto wazuri agiza kinywaji, agiza nyama choma mwagilia moyo huku ukimchagua anayekuangalia sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushauri bora sana wa kibobezi🙌🤣Tafuta bar yenye watoto wazuri agiza kinywaji, agiza nyama choma mwagilia moyo huku ukimchagua anayekuangalia sana
Sent using Jamii Forums mobile app
😍😍😍🥀🤣🤣🤣🤣
Kwann usimtafute ss mkuu?Hapana ni hilo tu
Njoo ufanyiwe maombi, hao viumbe wa Mungu wamezajana mno humu duniani, nadhani unayo shida nyingine ya ziada,Nahitaji rafiki wa kike angalau wa kuchati nae au calls niondokane na hii hali!
😍💋😍😍😍🥀
Apambane,wenziwe tunapambanaUsicheke msaidie mwenzako huyo
🤣🤣🤣🙄Wanaume wa hivi mwenye stress akipanda hashuki, anapiga kama analima
Asizunguke mbuyu au sio..aende moja kwa moja kwenye point😀Si useme tu una nyege
NdioAsizunguke mbuyu au sio..aende moja kwa moja kwenye point😀
Waafrica !!😂😂Bar kuna pisi kali sana alafu ni baadhi yao ni MAJINI.
Sisi ndio waafrika mkuuWaafrica !!😂😂
Nafurahi kuwa unajua tiba ya sonona..hakika shemeji anabahati, akivurugwa na mambo basi huwa unayaweka sawa na anakaa vyema kabisa..😀Ndio