Ninahisi kupata ugonjwa wa sonona, nahitaji rafiki wa kike

Ninahisi kupata ugonjwa wa sonona, nahitaji rafiki wa kike

Tafuta bar yenye watoto wazuri agiza kinywaji, agiza nyama choma mwagilia moyo huku ukimchagua anayekuangalia sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu,
Umempa very easy option ashindwe mwenyewe...

Umenikumbusha,
Kocha wangu mmoja raia wa congo kipindi kile nasakata kabumbu... Kwenye mechi refa akawa ana support team pinzani..

Kocha wa kikongo na kiswahili chake kibovu akasema vijana chezeni mpira """BATAOKOTA BENYEWEEEE KUNYAVU""

☺️☺️😊😊
 
Tatizo la sonona haliwezi kwisha kwa kupata mwanamke, tafuta chañzo cha tatizo, litatue then tafuta kimwana wa kukupa raha.
Huyu jamaa nionavyo chanzo cha tatizo lake ni udomo zege. Ingempasa afungiwe kwanza chumbani na demu mjanja mjanja alafu tuone mwisho wake kama ataongea au atamwacha manzi aondoke.
 
Sababu kubwa za sonona kwa vijana wa sasa ni
1- ukosefu wa pesa
2-ukosefu wa ajira (umesoma ila huna kazi)
3-Mapenzi (kutokuwa na mwenza wa kukupunguzia nyege)
4-Kuwa mbali sana na Mungu (moyo huwa unakosa amani)
5- Kupenda kujilinganisha maisha yako na watu wengine(wanaokuzunguka/mitandaoni)
 
Tafuta bar yenye watoto wazuri agiza kinywaji, agiza nyama choma mwagilia moyo huku ukimchagua anayekuangalia sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Unampoteza kijana maama vijana wengine akitunikiwa usiku mmoja tu anataka mhudumu asiongee na mtejaa yoyote anamgeuza demu wake fujo zinaanza kwa yoyote atakaye mtolea macho
 
Back
Top Bottom