Ninahisi kupata ugonjwa wa sonona, nahitaji rafiki wa kike

Ninahisi kupata ugonjwa wa sonona, nahitaji rafiki wa kike

Mwanzo Nilisoma Sonono Kumbe Ni Sonona.

Haya Maneno Yapo Kinamna Fulani Hivi.


Ila Kila La Kheri Mkuu Wapo Wengi Sana
 
Sababu kubwa za sonona kwa vijana wa sasa ni
1- ukosefu wa pesa
2-ukosefu wa ajira (umesoma ila huna kazi)
3-Mapenzi (kutokuwa na mwenza wa kukupunguzia nyege)
4-Kuwa mbali sana na Mungu (moyo huwa unakosa amani)
5- Kupenda kujilinganisha maisha yako na watu wengine(wanaokuzunguka/mitandaoni)
Namba 3 hii umeifanyia tafiti
 
Back
Top Bottom