Ushauri bora sana wa kibobeziππ€£Tafuta bar yenye watoto wazuri agiza kinywaji, agiza nyama choma mwagilia moyo huku ukimchagua anayekuangalia sana
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππ₯π€£π€£π€£π€£
Kwann usimtafute ss mkuu?Hapana ni hilo tu
Njoo ufanyiwe maombi, hao viumbe wa Mungu wamezajana mno humu duniani, nadhani unayo shida nyingine ya ziada,Nahitaji rafiki wa kike angalau wa kuchati nae au calls niondokane na hii hali!
ππππππ₯
Apambane,wenziwe tunapambanaUsicheke msaidie mwenzako huyo
π€£π€£π€£πWanaume wa hivi mwenye stress akipanda hashuki, anapiga kama analima
Asizunguke mbuyu au sio..aende moja kwa moja kwenye pointπSi useme tu una nyege
NdioAsizunguke mbuyu au sio..aende moja kwa moja kwenye pointπ
Waafrica !!ππBar kuna pisi kali sana alafu ni baadhi yao ni MAJINI.
Sisi ndio waafrika mkuuWaafrica !!ππ
Nafurahi kuwa unajua tiba ya sonona..hakika shemeji anabahati, akivurugwa na mambo basi huwa unayaweka sawa na anakaa vyema kabisa..πNdio