Ninahisi nina kichaa, tafadhali nisaidieni, msinikejeli wala kunisema...

Ndo tabu inaanzia hapo mkuu.
 
Pole sana ndugu , ulipo waishi na nani ? Je unaweza kuitafuta hospitali ya tatizo lako ?
Kama ndivyo basi mshauri huyo unaekaa naye akufikishe katika hospitali yenye uwezo n.a. shida yako ..

Ila ikiwa huna mtu wa karibu basi jikongoje mpaka hospitali ya magonjwa hayo upate tiba

Ila yote kwa yote jitahidi kupunguza hasira na punguza kujitenga na jamii lakini pia kula mboga za majani kwa wingi .

Ushauri tu pole sana

TEKERI.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Short and clear!!!
Nakushauri jisalimishe Milembe kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…