Ninahitaji kiwanja maeneo ya Mwananyamala, Kinondoni na Makumbusho ofa milioni 20

Ninahitaji kiwanja maeneo ya Mwananyamala, Kinondoni na Makumbusho ofa milioni 20

Habari wadau . Nimefanikiwa kukopa pesa bank hivyo nahitaji kiwanja kilichokuwq mjini maeneo ya mwanayamala, kinondoni na makumbusho. Ikishindikana kabisa nipate hata maeneo ya kawe
Nikuunganishe ununue nyumba ipo mitaa ya Mwananyamala Mchangani
Bei 45Mil

Mi nakuunganisha na muuzaji kwa kukupa namba.

Mengine mtamalizana wenyewe.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Njoo PM nikupe namba ya muuzaji, ni nyumba ya urithi watoto wanaiuza kwasababu kila mtu anaishi mkoa wake.
Muuzaji ni kaka yao na ndiye RAFIKI YANGU.

Nakupa namba hayo mambo ya picha mtamalizana wenyewe.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Nyumba ya urithi
 
Ndugu yangu makumbusho kiwanja cha bei ndogo ni milion mia mbili khamsini alafu wewe una million ishirini kweli mtumish au unataka kutapeliwa tu mtumish
 
Back
Top Bottom