Ninahitaji mpenzi mpya wa JF huyu wa sasa amepoteza mvuto

Kuna dogo hapa ila naona yeye anazingua, yn inakuaje Dogo anapiga nyeto na mfuko wa cement iliyoisha ahh ananiboa bhana ๐Ÿ˜Ž
Huyo dogo kazingua sana lakini hamfikii rafiki yangu mmoja aliyetumia kemikali ya sulfuric acid kama kilainishi cha kupigia nyeto.

Sijui aliwaza nini aise๐Ÿค”.
 
Ukitwka wa hivyo muoe huyo ndiye atakuwa wako utamfanya unavotaka wewe ๐Ÿ˜‚ nje ya hapo awe mpenzi wako tu unapomuacha anafanya nini si ndiyo huko kujua kila linaloendelea duniani mpaka atakueleza ratiba ya ubwabwa wa chauma na rungwe
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ sawa mkuu, ila kuoa ni kunyima nafasi warembo wengine wanaonihitaji ili wajipatie chochote kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ